Rais Samia ni muungwana lakini je atashinda mitego ya wizi wa kura?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Swali langu ni dogo sana na halihitaji maelezo marefu mama samia ameonyesha uungwana na uvumilivu kwenye mambo mengi mfano kwa Tundulisu na kufungulia magazeti lakini je atashinda kizingiti cha chama chake na dola kutoiba kura kwenye uchaguzi?
 
Swali langu ni dogo sana na halihitaji maelezo marefu mama samia ameonyesha uungwana na uvumilivu kwenye mambo mengi mfano kwa Tundulisu na kiss fungulia magazeti lakini je atashinda kizingiti cha chama chake na dola kutoiba kura kwenye uchaguzi?
Uungwana upi wakati yupo hapo kwa sababu ya wizi na uchafuzi wa kura?
 
Lakini,alisema kipindi fulani kwamba CCM haihitaji kura zenu ili ishimde uchaguzi.Au hakueleweka uzuri?
Karne hii ambapo mambo hubadilika haraka sana huwezi kujiamini hivi unadhani magufuli leo angekuwa kwamba atakuwa udongo ? Don't under estimate people bana.
 
CCM wote ni waungwana kipindi hiki. Ngoja uchaguzi uanze, utashangaa.

CCM na kung'ang'ania madaraka ni Mchagga na pesa(joke)[emoji16][emoji16]
 
Swali langu ni dogo sana na halihitaji maelezo marefu mama samia ameonyesha uungwana na uvumilivu kwenye mambo mengi mfano kwa Tundulisu na kufungulia magazeti lakini je atashinda kizingiti cha chama chake na dola kutoiba kura kwenye uchaguzi?
Hawezi kukishinda sababu bila hicho ye mwenyewe anaweza asiwepo
 
Ccm kuiba kura ni lazima, maana sio chama cha kizazi hiki na hawataki kukubali kuwa hizi sio zama zao. Ccm itatoka madarakani kwa machafuko tu na sio zaidi ya hivyo. Tena huyu ndio ataiba sana maana kaanza kampeni mapema. Bahati nzuri wananchi nao wameshajitambua hivyo hawajitokezi kupiga kura tena, bali wanasubiri tu muongozaji wa kuwatoa ccm kwa machafuko.
 
Swali langu ni dogo sana na halihitaji maelezo marefu mama samia ameonyesha uungwana na uvumilivu kwenye mambo mengi mfano kwa Tundulisu na kufungulia magazeti lakini je atashinda kizingiti cha chama chake na dola kutoiba kura kwenye uchaguzi?
Hivi kwa akiri Samia apambane na Lissu atatoboa??? Au Samia apambane na Mbowe atatoboa, kwa hoja zipi? Ushawishi upi? Ukweli 2025 ataiba sana, hakubaliki Kama wenzake waliomtangulia
 
Swali langu ni dogo sana na halihitaji maelezo marefu mama samia ameonyesha uungwana na uvumilivu kwenye mambo mengi mfano kwa Tundulisu na kufungulia magazeti lakini je atashinda kizingiti cha chama chake na dola kutoiba kura kwenye uchaguzi?
Ana mkono mrefu sana wa kuweza kuiba kura kila kituo nchi nzima, ogopa mfumo mkuu
 
Back
Top Bottom