Rais Samia ni nchi gan hiyo duniani uliambiwa kuwa ukinunua hata tu 'Bigi Jii' unapewa Risiti?

Rais Samia ni nchi gan hiyo duniani uliambiwa kuwa ukinunua hata tu 'Bigi Jii' unapewa Risiti?

wasaidizi wake au wale chawa gegedu wake tafadhali njooni hapa mumsaidie mtutajie hiyo nchi ili nasi pia tuijue ok?
Ni nchi nyingi mno duniani ikiwapo na Tanzania baadhi ya wauzaji ukinunua chochote hata sindano moja unapata risiti. Hili sio jambo kubwa na tusipoteze muda wetu hapa.
 
Back
Top Bottom