- Thread starter
- #21
hivi ni kila siku au kirasiku?Nendeni ubalozi wa Canada, mimi nina rafiki yuko Canada naongea naye kirasiku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi ni kila siku au kirasiku?Nendeni ubalozi wa Canada, mimi nina rafiki yuko Canada naongea naye kirasiku
Daaaah .... Kweli zakuambiwa changanya na zako. Yaani aliambiwa hivyo naye akabeba hivyo hivyo?wasaidizi wake au wale chawa gegedu wake tafadhali njooni hapa mumsaidie mtutajie hiyo nchi ili nasi pia tuijue ok?
Ndo ukinunua chewing gum dukani unapewa receipt? Acha supermarket.Tena wanafurahia kulipa Kodi kwasababu mtu mmojammoja kama hana kazi anapewa hela ya kula na analipiwa kodi ya nyumba nchi ya Canada wanafanya hivyo
Typing error, asante nimerekebishahivi ni kila siku au kirasiku?
wenye upeo mpana hapa jamvini tunapomdharau muwe mnatuelewa. kama nchi tumepata hasara kubwa sana ok?Daaaah .... Kweli zakuambiwa changanya na zako. Yaani aliambiwa hivyo naye akabeba hivyo hivyo?
kwahiyo mmeamua kutokujitendea haki wenyewe right?Kama mbunge wa jimbo nililotokea ana kula pesa ya wizi kabisa ,ni vile tu watu wa jimbo langu huwa hawaitegemei serikali kihivyo mambo mengi tu , tunachangia yanakaa sawa 🐒
Mishahara na posho anazopata ndio pesa za wananchi ,hana mchango wowote bungeni wala jimboni mwake yupo yupo tu.kwahiyo mmeamua kutokujitendea haki wenyewe right?
na Mbunge anahusikaje kula pesa za wananchi, mbona kwanza yeye hahusiki na pesa kwaajili ya wananchi, huyo wa kwenu kapata wap pesa 🐒
mna haki ya kumuwajibisha kule field wakati muafaka wa uchaguzi, mitandaoni sio pakutegemea hata kidogo. atashinda tena hiyo kiti mkizubaa na kujiaminisha mitandaoni kwamba hawezi toboa 🐒Mishahara na posho anazopata ndio pesa za wananchi ,hana mchango wowote bungeni wala jimboni mwake yupo yupo tu.
mdharau mwiba mguu huota tende 🐒wenye upeo mpana hapa jamvini tunapomdharau muwe mnatuelewa. kama nchi tumepata hasara kubwa sana ok?
Kwani kabla ya hapo nan alimpigia kura mkuu si walipita tu bila kupigwa ?mna haki ya kumuwajibisha kule field wakati muafaka wa uchaguzi, mitandaoni sio pakutegemea hata kidogo. atashinda tena hiyo kiti mkizubaa na kujiaminisha mitandaoni kwamba hawezi toboa 🐒
Ok. Nimekuelewawenye upeo mpana hapa jamvini tunapomdharau muwe mnatuelewa. kama nchi tumepata hasara kubwa sana ok?
ukaya ndiyo wapi huko mkuu ili nami niende hata kesho?Nenda ukaya kila kitu kodi
Ulayaukaya ndiyo wapi huko mkuu ili nami niende hata kesho?
kifimbo cheza aliniachia urithi wakeUlaya
na bado.....!!Mimi huwa sichangiagi haya mambo ya siasa siasa hata kidogo.
Ila suala la luku limenipa mstuko mkubwa sana aiseee yaani 5k unit 7 serious
Yaaani kwa hapa sasa kuna kitu wanakitafuta unajua nilikua nachukulia poa sana ila sasa hapana wakuu daah kweli an hii imeniuma mno....na bado.....!!
na bado....!!Yaaani kwa hapa sasa kuna kitu wanakitafuta unajua nilikua nachukulia poa sana ila sasa hapana wakuu daah kweli an hii imeniuma mno....
Sasa hata mwezi ujakata nishanunua umeme wa 10k na sielewi haya matumizi imekuaje kuaje
fursa hiyo mwaka ujao 🐒Kwani kabla ya hapo nan alimpigia kura mkuu si walipita tu bila kupigwa ?