Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
zidisha juhudi katika kufanya kazi, Kwan mtaji ulio nao ni nguvu zako mwenyewe 🐒na bado....!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zidisha juhudi katika kufanya kazi, Kwan mtaji ulio nao ni nguvu zako mwenyewe 🐒na bado....!!
Hapana, mwenye tatizo hapa ni Raisi Samia, anaweza kuwa aliambiwa hili hakuelewa.wasaidizi wake au wale chawa gegedu wake tafadhali njooni hapa mumsaidie mtutajie hiyo nchi ili nasi pia tuijue ok?
wenye akili pana walivyoona tu nimeandika hapo 'bigi jii' kwa ku dramatize walinielewa ila kwa masikini wa akili hawajanielewaHapana, mwenye tatizo hapa ni Raisi Samia, anaweza kuwa aliambiwa hili hakuelewa.
Hizo nchi anazosema zinatoa risiti kwa Big G, sio kwamba wanauza Big G moja moja. Unanunua Big G box zima. Ni hizi nchi masikini kama Tanzania tu ndio unaweza kununua pipi au big G moja moja. Ukienda nchi zilizoendela hakuna sehemu wanauza pipi moja moja, au eti Big G moja. Unanunua mfuko wa pipi au kwa kilo.
Halafu Big G ni brand name, sio generic name. Hivi vitu vinaitwa chewing gum. Usije ukaenda sehemu kama Marekani ukauliza naomba Big G, hiyo brand inaweza isiwepo.
Pia Raisi Samia asiwe anaamini kila anachoambiwa.
Mimi mwenyewe nilijua siasa hainihusu hadi pale nilipo kuwa na malalamiko kuhusu kodi, niliambiwa sheria ina sema ukiangalia sheria inatugwa na nani? Ni wana siasaMimi huwa sichangiagi haya mambo ya siasa siasa hata kidogo.
Ila suala la luku limenipa mstuko mkubwa sana aiseee yaani 5k unit 7 serious
Inawezekana wewe ndio masikini wa akili. Kwa hiyo Samia hakusema Big G ila wewe ndio umemlisha maneno? Unapaswa ushitakiwe kwa kumkashifu raisi.wenye akili pana walivyoona tu nimeandika hapo 'bigi jii' kwa ku dramatize walinielewa ila kwa masikini wa akili hawajanielewa
Daaah mkuu hili suala lime ni touch sana aiseee an mambo yalivyo magumu hivi na bado kuna makato ya ajabu ajabu daah..Mimi mwenyewe nilijua siasa hainihusu hadi pale nilipo kuwa na malalamiko kuhusu kodi, niliambiwa sheria ina sema ukiangalia sheria inatugwa na nani? Ni wana siasa
huna akili nenda tbc1 waambie wakupe footage ya rais alivyokuwa anawahutubia leo wanawake wa kiislamu zanzibar ili ujiridheInawezekana wewe ndio masikini wa akili. Kwa hiyo Samia hakusema Big G ila wewe ndio umemlisha maneno? Unapaswa ushitakiwe kwa kumkashifu raisi.
na bado.....!!Daaah mkuu hili suala lime ni touch sana aiseee an mambo yalivyo magumu hivi na bado kuna makato ya ajabu ajabu daah..
Hivi wanataka tuibe sasa au
Mbona unakamia na kauli yako ya ajabu mkuu ahahahahna bado.....!!
na bado....!!Mbona unakamia na kauli yako ya ajabu mkuu ahahahah
Wee faza ujiheshimu kumbe ahahana bado....!!
Ni kwasababu mara ya kwanza tulishindwa kupaza sauti zetu walikuwa wanakata 1000, 1500, mpaka saiv 2000 mimi naona Acha iwe hivo sababu wengi wetu tunaona mambo ya siasa hayatuhusu tunaona kama kuna mtu fulani mahali anatakiwa kutusemeaDaaah mkuu hili suala lime ni touch sana aiseee an mambo yalivyo magumu hivi na bado kuna makato ya ajabu ajabu daah..
Hivi wanataka tuibe sasa au
Unajua mkuu... Au ngoja kwanza tuone maana hapa hawajui wanatengeneza bomu ambalo litawaumiza wenyeweNi kwasababu mara ya kwanza tulishindwa kupaza sauti zetu walikuwa wanakata 1000, 1500, mpaka saiv 2000 mimi naona Acha iwe hivo sababu wengi wetu tunaona mambo ya siasa hayatuhusu tunaona kama kuna mtu fulani mahali anatakiwa kutusemea
Wakati kuikomboa nchi zidi ya ukandamizi kunaweza kukaanza na wewe au na mimi
Mmmh, unaongea kiingereza kigumu! cognizant, wordsmith!huna akili nenda tbc1 waambie wakupe footage ya rais alivyokuwa anawahutubia leo wanawake wa kiislamu zanzibar ili ujiridhe
halafu unajua maana ya id yangu cognizant? kama huijui au hujui kiingereza mtafute wordsmith hapo ulipo akuelimishe