Yaani huyu ni hasara kwa wazazi wake na jamaa zake wote. Hakuna mtu mwenye akili timamu anayweza kuwa chawa wa kujitoa ufahamu na utu kama anavyofanya huyu Lucas. Ukiwa na toto la namna ya huyu, ndiyo wale wanaoitwa, "mtoto asiye riziki" unaishi naye kwa vile tu mwanadamu. Anaandika upuuzi, hata huyo anayesifiwa akisoma, atakuwa anasonya na kutukana maana anaona ni kejeli.
Huyu hivyo vihela anavyopewa, ni vya mateso sana!! Kama masharti ya kulipwa ni lazima ajidhalilishe kiasi hiki, kwa kweli ni wa kumhurumia.