Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Whether you are agree not you are agree Rais Samia ni Rais bora sana kuwahi kutokea kwenye taifa hili ama hakika haya aliyoyafanya na anayo endelea kuyafanya ama rais yoyote yule aliwahi kuyafanya labda Rais Magufuli na yeye alijitahidi ila ndiyo hivyo angetawala miaka zaidi hii nchi ingekuwa kama new york aisee
Ndani ya muda mfupi tu ameweza kuleta maendeleo makubwa sana ambayo hata marais wengine hawajawahi kuyafanya aisee,ameleta amani na utulivu na kiukweli pesa inonekana mtani, ameleta umoja miongoni mwa vyama upinzani, ameongeza idadi ya ajira kwa vijana na nchi kiukweli imetulia. Tafadhali aongezewe muda wa kuongoza taifa hili ili tuendeleee kupata maendeleo kwenye nchi hii.
#Nadhani watu wa fasihi mmenielewa#