CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Umenena vema kabisa.Kama ww unaona huyu ni rais Bora basi ni mjinga kuliko hata ujinga wenyewe. Unaanzaje kusema huyu ni rais Bora kama si punguani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena vema kabisa.Kama ww unaona huyu ni rais Bora basi ni mjinga kuliko hata ujinga wenyewe. Unaanzaje kusema huyu ni rais Bora kama si punguani
Whether you are agree not you are agree Rais samia ni Rais bora sana kuwahi kutokea kwenye taifa hili ama hakika haya aliyoyafanya na anayo endelea kuyafanya ama rais yoyote yule aliwahi kuyafanya labda Rais Magufuli na yeye alijitahidi ila ndiyo hivyo angetawala miaka zaidi hii nchi ingekuwa kama new york aisee
Ndani ya muda mfupi tu ameweza kuleta maendeleo makubwa sana ambayo hata marais wengine hawajawahi kuyafanya aisee,ameleta amani na utulivu na kiukweli pesa inonekana mtani, ameleta umoja miongoni mwa vyama upinzani, ameongeza idadi ya ajira kwa vijana na nchi kiukweli imetulia. Tafadhali aongezewe muda wa kuongoza taifa hili ili tuendeleee kupata maendeleo kwenye nchi hii.
#Nadhani watu wa fasihi mmenielewa#
Ama kweli akutukanae hakuchagulii tusi,asomaye na aelewe.😉Whether you are agree not you are agree Rais samia ni Rais bora sana kuwahi kutokea kwenye taifa hili ama hakika haya aliyoyafanya na anayo endelea kuyafanya ama rais yoyote yule aliwahi kuyafanya labda Rais Magufuli na yeye alijitahidi ila ndiyo hivyo angetawala miaka zaidi hii nchi ingekuwa kama new york aisee
Ndani ya muda mfupi tu ameweza kuleta maendeleo makubwa sana ambayo hata marais wengine hawajawahi kuyafanya aisee,ameleta amani na utulivu na kiukweli pesa inonekana mtani, ameleta umoja miongoni mwa vyama upinzani, ameongeza idadi ya ajira kwa vijana na nchi kiukweli imetulia. Tafadhali aongezewe muda wa kuongoza taifa hili ili tuendeleee kupata maendeleo kwenye nchi hii.
#Nadhani watu wa fasihi mmenielewa#
Na ndiyo ubora wenyewe anaouelezea mleta uzi huu.Ripoti ya utekaji na mauaji hadi sasa bado lakini, hiyo ni sifa nyingine, ufisadi wa kila mwenye nafasi kula kwa urefu wa kamba yake. Ripoti ya CAG ina wizi wa ajabu wa mali ya umma na hawajachuliwa hatua ionekane. Labda kama hivyo ni VIJIDRAMA tu.
kwakweli ameliunganisha taifa, na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu,Whether you are agree not you are agree Rais samia ni Rais bora sana kuwahi kutokea kwenye taifa hili ama hakika haya aliyoyafanya na anayo endelea kuyafanya ama rais yoyote yule aliwahi kuyafanya labda Rais Magufuli na yeye alijitahidi ila ndiyo hivyo angetawala miaka zaidi hii nchi ingekuwa kama new york aisee
Ndani ya muda mfupi tu ameweza kuleta maendeleo makubwa sana ambayo hata marais wengine hawajawahi kuyafanya aisee,ameleta amani na utulivu na kiukweli pesa inonekana mtani, ameleta umoja miongoni mwa vyama upinzani, ameongeza idadi ya ajira kwa vijana na nchi kiukweli imetulia. Tafadhali aongezewe muda wa kuongoza taifa hili ili tuendeleee kupata maendeleo kwenye nchi hii.
#Nadhani watu wa fasihi mmenielewa#

Ukipata muda tuwekee hapa kwa faida ya WENGI.Hotuba niliyoipenda sana ni ile ya RUSHWA
Ni nukuu ya baba wa taifa hayati Julius kambarage Nyerere.Alijitabiria eeh?
Haswaa, kizuri kinajiuza chenyewe hakihitaji Promondo!Angekuwa anakubalika Wala hizi nguvu mnazotumia msingetumia kamwe!!
Comparison itakamilika after 2025 Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza? na Wanawake Wana Akili Kuliko Wanaume? Hata kwenye Siasa na Uongozi, Wanawake Wameonyesha Uwezo Kuliko WanaumeKwamba miaka 3 ya JK na Miaka 3 ya Magufuli tulikuwa na Hali mbaya ukilinganisha na sasa?
Aaa yuu siriazi?Whether you are agree not you are agree Rais Samia ni Rais bora sana kuwahi kutokea kwenye taifa hili ama hakika haya aliyoyafanya na anayo endelea kuyafanya ama rais yoyote yule aliwahi kuyafanya labda Rais Magufuli na yeye alijitahidi ila ndiyo hivyo angetawala miaka zaidi hii nchi ingekuwa kama new york aisee
Ndani ya muda mfupi tu ameweza kuleta maendeleo makubwa sana ambayo hata marais wengine hawajawahi kuyafanya aisee,ameleta amani na utulivu na kiukweli pesa inonekana mtani, ameleta umoja miongoni mwa vyama upinzani, ameongeza idadi ya ajira kwa vijana na nchi kiukweli imetulia. Tafadhali aongezewe muda wa kuongoza taifa hili ili tuendeleee kupata maendeleo kwenye nchi hii.
#Nadhani watu wa fasihi mmenielewa#
Whether you are agree not you are agree Rais Samia ni Rais bora sana kuwahi kutokea kwenye taifa hili ama hakika haya aliyoyafanya na anayo endelea kuyafanya ama rais yoyote yule aliwahi kuyafanya labda Rais Magufuli na yeye alijitahidi ila ndiyo hivyo angetawala miaka zaidi hii nchi ingekuwa kama new york aisee
Ndani ya muda mfupi tu ameweza kuleta maendeleo makubwa sana ambayo hata marais wengine hawajawahi kuyafanya aisee,ameleta amani na utulivu na kiukweli pesa inonekana mtani, ameleta umoja miongoni mwa vyama upinzani, ameongeza idadi ya ajira kwa vijana na nchi kiukweli imetulia. Tafadhali aongezewe muda wa kuongoza taifa hili ili tuendeleee kupata maendeleo kwenye nchi hii.
#Nadhani watu wa fasihi mmenielewa#
Hapa mwamba umeandika chongereza!Whether you are agree not you are agree
Nami naunga mkono hojaWhether you are agree not you are agree Rais Samia ni Rais bora sana kuwahi kutokea kwenye taifa hili ama hakika haya aliyoyafanya na anayo endelea kuyafanya ama rais yoyote yule aliwahi kuyafanya labda Rais Magufuli na yeye alijitahidi ila ndiyo hivyo angetawala miaka zaidi hii nchi ingekuwa kama new york aisee