Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
- Thread starter
- #21
😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi hapa nasubiria kibunda changu kiingie na Mimi nianze kupiga mapambio nipo sub kidogo kibunda kikiingia tu mtanishangaa ndio Mimi au mwingineNaunga mkono hoja
P
Umepiga kwenye mshono sina la kuongezea hapoSawa mkuu,
Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
Changamka changamka upewe kibunda mjini mipangoTukimlinganisha na nani?
Kwamba JK na Magu Kwa miaka Yao kama ya mama samia Tanzania tulikuwa kama Somalia au
Very very true.Umepiga kwenye mshono sina la kuongezea hapo
Ukipewa kibunda wewe utasifia mpaka soli ya kiatu alichovaa, watu wanaangalia vibunda zaidi ukiona mtu kashikilia bango jua mkononi kalamba nyekundu kadhaa mods msinipige banSawa mkuu,
Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
Karibu snDuuu
Mimi ni dactari kijana naishi vyema umaskini,ujinga, maradhi nimevikimbiza 100000000000kmUkipewa kibunda wewe utasifia mpaka soli ya kiatu alichovaa
Ukilambishwa kibunda unaukimbia udaktari huo wewe wekwa wizara fulani pale acha kuchezea Michael loss cropMimi ni dactari kijana naishi vyema umaskini,ujinga, maradhi nimevikimbiza 100000000000km
Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
Alijitabiria eeh?Sawa mkuu,
Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
Kama ww unaona huyu ni rais Bora basi ni mjinga kuliko hata ujinga wenyewe. Unaanzaje kusema huyu ni rais Bora kama si punguaniWhether you are agree not you are agree Rais samia ni Rais bora sana kuwahi kutokea kwenye taifa hili ama hakika haya aliyoyafanya na anayo endelea kuyafanya ama rais yoyote yule aliwahi kuyafanya labda Rais Magufuli na yeye alijitahidi ila ndiyo hivyo angetawala miaka zaidi hii nchi ingekuwa kama new york aisee
Ndani ya muda mfupi tu ameweza kuleta maendeleo makubwa sana ambayo hata marais wengine hawajawahi kuyafanya aisee,ameleta amani na utulivu na kiukweli pesa inonekana mtani, ameleta umoja miongoni mwa vyama upinzani, ameongeza idadi ya ajira kwa vijana na nchi kiukweli imetulia. Tafadhali aongezewe muda wa kuongoza taifa hili ili tuendeleee kupata maendeleo kwenye nchi hii.
#Nadhani watu wa fasihi mmenielewa#
Hotuba niliyoipenda sana ni ile ya RUSHWAMimi ni dactari kijana naishi vyema umaskini,ujinga, maradhi nimevikimbiza 100000000000km
Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
Marais waliomtanguliaTukimlinganisha na nani?
Kwamba JK na Magu Kwa miaka Yao kama ya mama samia Tanzania tulikuwa kama Somalia au
Pumbavu.Whether you are agree not you are agree Rais samia ni Rais bora sana kuwahi kutokea kwenye taifa hili ama hakika haya aliyoyafanya na anayo endelea kuyafanya ama rais yoyote yule aliwahi kuyafanya labda Rais Magufuli na yeye alijitahidi ila ndiyo hivyo angetawala miaka zaidi hii nchi ingekuwa kama new york aisee
Ndani ya muda mfupi tu ameweza kuleta maendeleo makubwa sana ambayo hata marais wengine hawajawahi kuyafanya aisee,ameleta amani na utulivu na kiukweli pesa inonekana mtani, ameleta umoja miongoni mwa vyama upinzani, ameongeza idadi ya ajira kwa vijana na nchi kiukweli imetulia. Tafadhali aongezewe muda wa kuongoza taifa hili ili tuendeleee kupata maendeleo kwenye nchi hii.
#Nadhani watu wa fasihi mmenielewa#
Hiyo English yako imekaa kichawa zaidi! Acha mara moja kuwajaza hasira wenye lugha yao! Unamdhalilisha mwalimu wako wa somo la kiingereza!Whether you are agree not you are agree Rais samia ni Rais bora sana kuwahi kutokea kwenye taifa hili ama hakika haya aliyoyafanya na anayo endelea kuyafanya ama rais yoyote yule aliwahi kuyafanya labda Rais Magufuli na yeye alijitahidi ila ndiyo hivyo angetawala miaka zaidi hii nchi ingekuwa kama new york aisee
Ndani ya muda mfupi tu ameweza kuleta maendeleo makubwa sana ambayo hata marais wengine hawajawahi kuyafanya aisee,ameleta amani na utulivu na kiukweli pesa inonekana mtani, ameleta umoja miongoni mwa vyama upinzani, ameongeza idadi ya ajira kwa vijana na nchi kiukweli imetulia. Tafadhali aongezewe muda wa kuongoza taifa hili ili tuendeleee kupata maendeleo kwenye nchi hii.
#Nadhani watu wa fasihi mmenielewa#
Hapo kwenye bold kwani ungeandika Kiswahili chetu ungedhurika nini ?Whether you are agree not you are agree Rais samia ni Rais bora sana kuwahi kutokea kwenye taifa hili ama hakika haya aliyoyafanya na anayo endelea kuyafanya ama rais yoyote yule aliwahi kuyafanya labda Rais Magufuli na yeye alijitahidi ila ndiyo hivyo angetawala miaka zaidi hii nchi ingekuwa kama new york aisee
Ndani ya muda mfupi tu ameweza kuleta maendeleo makubwa sana ambayo hata marais wengine hawajawahi kuyafanya aisee,ameleta amani na utulivu na kiukweli pesa inonekana mtani, ameleta umoja miongoni mwa vyama upinzani, ameongeza idadi ya ajira kwa vijana na nchi kiukweli imetulia. Tafadhali aongezewe muda wa kuongoza taifa hili ili tuendeleee kupata maendeleo kwenye nchi hii.
#Nadhani watu wa fasihi mmenielewa#
Chezea elimu ya MEMKWA wewe ?Hiyo English yako imekaa kichawa zaidi! Acha mara moja kuwajaza hasira wenye lugha yao! Unamdhalilisha mwalimu wako wa somo la kiingereza!
Marais waliomtangulia
P