Rais Samia ni Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili

Tajiri wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,079
Reaction score
2,947
Whether you are agree not you are agree Rais Samia ni Rais bora sana kuwahi kutokea kwenye taifa hili ama hakika haya aliyoyafanya na anayo endelea kuyafanya ama rais yoyote yule aliwahi kuyafanya labda Rais Magufuli na yeye alijitahidi ila ndiyo hivyo angetawala miaka zaidi hii nchi ingekuwa kama new york aisee

Ndani ya muda mfupi tu ameweza kuleta maendeleo makubwa sana ambayo hata marais wengine hawajawahi kuyafanya aisee,ameleta amani na utulivu na kiukweli pesa inonekana mtani, ameleta umoja miongoni mwa vyama upinzani, ameongeza idadi ya ajira kwa vijana na nchi kiukweli imetulia. Tafadhali aongezewe muda wa kuongoza taifa hili ili tuendeleee kupata maendeleo kwenye nchi hii.

#Nadhani watu wa fasihi mmenielewa#
 
Sawa mkuu,

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
 
Utakuwa una matatizo upstairs!
 

Sometimes machawa wa CCM uwa mnasahau kuwa since Uhuru ni Chama kimoja ndio kimetawala

Na hao wote waliotawala walikuwepo katika serikali zote since Uhuru

Ilitakiwa uongee hivyo kama miaka 10 iliyopita Lipumba ndie alikuwa Rais
 
HILI NALO MKALITAZAME.

Nawaagiza akina Kasimu na Kamanda Muliro mwende mkalitazame hili kwa makini kisha mnirudishie ripoti inayoonesha mimi ni Rais bora au la.

Tumeanza kusikia vijikelele kelele huko nje kutoka kwa WASHAKUNAKU wakinitusi mie mama yenu lakini naziba masikio kama chura kiziwi tunasonga mbele. Siwaskizi.

Kamanda Muliro nina imani na uzoefu wako wa kucheza judo hivyo nakuagizeni mwende mkanipiganie mama yenu.

MKINIKUNA NITAWAKUNA.

Cc: Nyani Ngabu
 
Sawa mkuu tumeelewa.
Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…