Rais Samia ni Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili

Sawa mkuu,

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
Ukipewa kibunda wewe utasifia mpaka soli ya kiatu alichovaa, watu wanaangalia vibunda zaidi ukiona mtu kashikilia bango jua mkononi kalamba nyekundu kadhaa mods msinipige ban
 
Ukipewa kibunda wewe utasifia mpaka soli ya kiatu alichovaa
Mimi ni dactari kijana naishi vyema umaskini,ujinga, maradhi nimevikimbiza 100000000000km

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
 
Mzee Umesahau kuweka mawasiliano yako hapo mwisho πŸ€’πŸ˜Ž
 
Mimi ni dactari kijana naishi vyema umaskini,ujinga, maradhi nimevikimbiza 100000000000km

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
Ukilambishwa kibunda unaukimbia udaktari huo wewe wekwa wizara fulani pale acha kuchezea Michael loss crop
 
Kama ww unaona huyu ni rais Bora basi ni mjinga kuliko hata ujinga wenyewe. Unaanzaje kusema huyu ni rais Bora kama si punguani
 
Pumbavu.
 
Hiyo English yako imekaa kichawa zaidi! Acha mara moja kuwajaza hasira wenye lugha yao! Unamdhalilisha mwalimu wako wa somo la kiingereza!
 
Hapo kwenye bold kwani ungeandika Kiswahili chetu ungedhurika nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…