Rais Samia ni Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili

Namkubali sana SSH,na ningekuwa nayasema haya siku nyingi sana Hadi nikaitwa chawa 😂😂
 
Maendeleo maana yake nini?
Amani maana yake nini?
Utekaji na mauaji ya wapinzani ni maendeleo na amani!
Ukapimwe afya ya akili!!!
 
Hiyo English yako imekaa kichawa zaidi! Acha mara moja kuwajaza hasira wenye lugha yao! Unamdhalilisha mwalimu wako wa somo la kiingereza!
Mtu wa tamisemi tangu lini akawa na kiingereza kizuri
 
Nenda shule kwanza kingereza gani hiko
 
mxiyuuuu[emoji34][emoji34]
 
Kichekesho cha karne
 
Uzuri ni kwamba
 
Watanzania ni wanafiki sana...!
Ajabu waliokua wanaunga juhudi za maendeleo miaka 6 iliyopita ndio hao hao waliomkosoa na ndio haohao wana wanaounga juhudi za kipindi hiki....!
Uzuri ni kwamba.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…