Rais Samia, ni Watanzania gani hao waliokubali hizo tozo?

Tozo ni majanga na kwa jeuri ya viongozi wetu wamegoma kubadilisha. Katiba mpya ndio suluhisho ya unyonyaji huu.
 
Watanzania wanagugumia mioyoni kuhusu tozo ya miamala ya simu. Ukimya na upole wao wa kuamua kukaa kimya ndio unatumiwa na viongozi wao kusema wamekubaliana na tozo.
 
Kale ka msemo " bora ukae kimya watu wakudhanie ni mjinga kuliko kuongea pumba watu wathibitishe ujinga wako" naona kana mlandana bi mkoraaaaaa
 
Mwendazake aliwaambia kuwa MTAMKUMBUKA TU
 
Wengi wetu tumeangalia habari kwenye gazeti pendwa la uhuru kuwa Mama hatagombea 2025. KUNA KIHABARI NDO KIMENIVUTIA HABARI NA MPAKA SASA NATAFUTA GAZETI SILIONI BARABARANI.

Kwamba Sisi watanzania hatujakataa Tozo za Miamala ya simu. Wewe ulimtuma waziri mkuu kuwa umesikia kilio chetu na umewaagiza wakae kikao ambacho mpaka leo hakina majibu. Was it a good lie?
 
Ukitaka kuijua vizuri tabia halisi ya mwanadamu, wewe mpe tu pesa nyingi au mpe madaraka makubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…