Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Mama wa uongo [emoji3][emoji3]"Nadhani, Sidhani, Sina Hakika, Sijajua" [emoji1782]
To make it short, that's a LIE![emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama wa uongo [emoji3][emoji3]"Nadhani, Sidhani, Sina Hakika, Sijajua" [emoji1782]
To make it short, that's a LIE![emoji23]
Yupo busy na teuziIli ujuwe kuwa watu wanalalamikia jambo fulani ni lazima watu hao wafanye nini?
Amelaaniwa kabisaHuyo shetani wenu jike inawezekana kalogwa na wake wenzake huko akili zimemyumba. Mpuuzi kabisa eti tumeridhika na tozo anaumwa Nini huyu!!!?
Anawaza madume tuMiss utalii katika ubora wake! Hana time na kero za wananchi!
Wabunge ni wawakilishi wa wananchi. Sasa kama mmewachagua kina Gwajima unategemea nini?SSH anawashukuru wananchi wa Tz kwa kuikubali tozo ni kina nani hao?
Huyu mama yenu anasema anawashukuru wananchi kwa kuipokea kwa mikono miwili hiyo tozo mpya na akasema watz hawajakataa tozo
Huyu mama anazungumzia wananchi wa wapi???na ni kina nani wamekubali tozo?Au ni mussa zungu na mwigulu?
Huyu mama kuna kitu hakipo sawa.....anacheza na saikolojia zetu hapo hapo anasema wananchi wameipokea tozo kwa mikono miwili hapo hapo anasema ni kwa faida zao juzi akasema kuna kelele kelele kuhusu tozo
Tushike lipi na tuende kwa lipi?
Chukia vilaza mliowajaza bungeni Kwanza kina babutaleBi mkubwa nimetokea kumchukia sana kutoka moyoni kabisa