Tozo zikianzia kwa Wabunge ni chanzo kizuri sans.Raisi kajieleza vizuri kabisa. Kwamba tozo ni kubwa na hivyo ziweze kupunguzwa. Lkn pia kasema tozo zilianzishwa ili tuweze kupelekewa huduma za kijamii maeneo ambayo bajeti yetu ya kawaida ilishindwa kufika. Ko badala ya kulalamika ni vyema tukaanza kuiombea serikali yetu itimize adhima ya kutuletea huduma vijijini.