Rais Samia, ni Watanzania gani hao waliokubali hizo tozo?

Rais Samia, ni Watanzania gani hao waliokubali hizo tozo?

Tuna matatizo mengi katika jamii yetu, kwa mujibu wa mama, serikali haina uwezo wa kufanya chochote zaidi ya kuleta tozo, maeneo kama;
1. Watoto kukaa chini darasani
2. Uhaba wa madawa hospitalini....
Sawa sawa. Kwa kuwa watanzani tuko wajinga na waoga.
 
Ukiendelea kutafakari tozo kumbuka KILA v8 moja linapewa lita 2100 bure kwa mwezi kodi yako milioni 5 imeenda hapa,Kazi ya v8 ni kumpeleka boss ofisini kumrudisha nyumbani kupeleka watoto shule, kupeleka familia kanisani,kodi yetu nyingi inaishia kufadhili anasa za wanasiasa na kwenye matumizi kuliko uzalishaji,haya mambo ndo utufanya tuone hizi tozo si msaada,mikanda tufunge wote watawaliwa na watawala.
 
Ukiendelea kutafakari tozo kumbuka KILA v8 moja linapewa lita 2100 bure kwa mwezi kodi yako milioni 5 imeenda hapa,Kazi ya v8 ni kumpeleka boss ofisini kumrudisha nyumbani kupeleka watoto shule, kupeleka familia kanisani
Upo sahihi kabisa comrade
 
Ukiendelea kutafakari tozo kumbuka KILA v8 moja linapewa lita 2100 bure kwa mwezi kodi yako milioni 5 imeenda hapa,Kazi ya v8 ni kumpeleka boss ofisini kumrudisha nyumbani kupeleka watoto shule, kupeleka familia kanisani
Ila kwa hapo ukipatafakari sana panaumiza kiana.
 
Back
Top Bottom