GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wanatuona nyani tu. Wenyeji wa pwani ni chanzo cha matatizo ya Nchi yetuHalafu GENTAMYCINE nawaombeni tafuteni Uongo Mpya kwani huu wa kusema kila Siku kuwa Mvua hazipo hivyo Mito haijazi Maji katika Mabwawa ya Umeme ndiyo maana sasa Tanzania ( hasa Dar es Salaam ) kuna hii Kata Washa na Washa Kata umeshapitwa na wakati sawa?
Endeleeni tu kutuona kila Siku kuwa Watanzania ni Mapopoma ( Wapumbavu ) sawa?
Dah, astaghafulahi, haya.Halafu GENTAMYCINE nawaombeni tafuteni Uongo Mpya kwani huu wa kusema kila Siku kuwa Mvua hazipo hivyo Mito haijazi Maji katika Mabwawa ya Umeme ndiyo maana sasa Tanzania ( hasa Dar es Salaam ) kuna hii Kata Washa na Washa Kata umeshapitwa na wakati sawa?
Endeleeni tu kutuona kila Siku kuwa Watanzania ni Mapopoma ( Wapumbavu ) sawa?
Achaga ufala weweWa
Wanatuona nyani tu. Wenyeji wa pwani ni chanzo cha matatizo ya Nchi yetu
watu wa pwani ndio tuliopigania uhuru wa Tanganyika.Wa
Wanatuona nyani tu. Wenyeji wa pwani ni chanzo cha matatizo ya Nchi yetu
Kosa mkatuwekea maagano yanayotutesa hadi Leo likiwemo kafara la umasikini.watu wa pwani ndio tuliopigania uhuru wa Tanganyika.
Mkwawa aliwatandika Wajerumani, nyinyi watu wa pwani mlipigana vita IPI?watu wa pwani ndio tuliopigania uhuru wa Tanganyika.
Huna IQ ya Kunielewa GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo acha kunipotezea muda Wangu sawa?Mabwawa ya umeme yapo kidatu na mtela,sasa mashamba yaliyoko pwani yanadhuru vipi ujaaji wa mbwawa hayo? Au maji yanarudi kinyume nyume toka baharini na kupanda mlima kuelekea kwenye nyanda za juu?.
Wanatufanya manyani.Huna IQ ya Kunielewa GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo acha kunipotezea muda Wangu sawa?
Kuna Fumbo Kubwa nimelifumba hapo na kuitumia Pwani na maemeo tajwa pamoja na Umeme na Mabwawa ila huna Akili ya Kunielewa na kamwe hutonielewa.
Ana vi-biti vya kiaina๐๐๐๐๐ jamaa una biti kishenzi
Hujui kuunga dots?Mabwawa ya umeme yapo kidatu na mtela,sasa mashamba yaliyoko pwani yanadhuru vipi ujaaji wa mbwawa hayo? Au maji yanarudi kinyume nyume toka baharini na kupanda mlima kuelekea kwenye nyanda za juu?.
noma sanaAna vi-biti vya kiaina๐๐
Mkuu habari za siku, mbona adimu sana huku nimekuona leo moyo wangu umesuzika, mpaka naanza kuwaza alikosea sehemu kile kisima kikamhusu niniDah, astaghafulahi, haya.
Nimepita jana pale daraja la Ruvu nimeona pamewekwa kijituta mtoni kulazimisha maji kuingia intake ya DAWASA.Halafu GENTAMYCINE nawaombeni tafuteni Uongo Mpya kwani huu wa kusema kila Siku kuwa Mvua hazipo hivyo Mito haijazi Maji katika Mabwawa ya Umeme ndiyo maana sasa Tanzania ( hasa Dar es Salaam ) kuna hii Kata Washa na Washa Kata umeshapitwa na wakati sawa?
Endeleeni tu kutuona kila Siku kuwa Watanzania ni Mapopoma ( Wapumbavu ) sawa?