Rais Samia nikodie 'Chopper' ikakite Kambi Anga la Pwani ( Chalinze na Bagamoyo ) ili nikague Maji ya Mto 'yaliyochepushwa' kwenda Mashambani

Rais Samia nikodie 'Chopper' ikakite Kambi Anga la Pwani ( Chalinze na Bagamoyo ) ili nikague Maji ya Mto 'yaliyochepushwa' kwenda Mashambani

Halafu GENTAMYCINE nawaombeni tafuteni Uongo Mpya kwani huu wa kusema kila Siku kuwa Mvua hazipo hivyo Mito haijazi Maji katika Mabwawa ya Umeme ndiyo maana sasa Tanzania ( hasa Dar es Salaam ) kuna hii Kata Washa na Washa Kata umeshapitwa na wakati sawa?

Endeleeni tu kutuona kila Siku kuwa Watanzania ni Mapopoma ( Wapumbavu ) sawa?
Gentamycine! Elimu ni muhimu, mito Ruvu na Wami inapeleka maji kwenye bwawa gani la umeme!
Unaonekana haujawahi kupanda ndege sasa unatafuta namna ya kupanda ndege.
 
KIZIMKAZI anadanganywa kua kuna wafugaji wana ngombe ambao kila mmoja anakunywa LITA mia kwa siku. Ndio wanawahi hayo maji
 
Mkuu habari za siku, mbona adimu sana huku nimekuona leo moyo wangu umesuzika, mpaka naanza kuwaza alikosea sehemu kile kisima kikamhusu nini
Njema sana dear, shughuli tu za session mikoani ila nipo.
Tunaendelea kujifunza jamvini;
nimesoma sana mijadlaa ila sijaelewa kati "upungufu wa umeme" na " mgao wa umeme".
 
Njema sana dear, shughuli tu za session mikoani ila nipo.
Tunaendelea kujifunza jamvini;
nimesoma sana mijadlaa ila sijaelewa kati "upungufu wa umeme" na " mgao wa umeme".
Vyote kwa pamoja majibu anayo Maharage, mie nashukuru kama ni mzima wa afya Mungu aendelee kukutunza ,mie nimekuja kuzurura huku kwa lile jimama la Peramiho
 
Huna IQ ya Kunielewa GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo acha kunipotezea muda Wangu sawa?

Kuna Fumbo Kubwa nimelifumba hapo na kuitumia Pwani na maemeo tajwa pamoja na Umeme na Mabwawa ila huna Akili ya Kunielewa na kamwe hutonielewa.
Kama ni issue ya kunielewesha Kuna haja gani ya kunitukana kuwa Sina IQ? Au mistress ya bandari kuuzwa bado imekukaa kichwani?
 
Back
Top Bottom