Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Gentamycine! Elimu ni muhimu, mito Ruvu na Wami inapeleka maji kwenye bwawa gani la umeme!Halafu GENTAMYCINE nawaombeni tafuteni Uongo Mpya kwani huu wa kusema kila Siku kuwa Mvua hazipo hivyo Mito haijazi Maji katika Mabwawa ya Umeme ndiyo maana sasa Tanzania ( hasa Dar es Salaam ) kuna hii Kata Washa na Washa Kata umeshapitwa na wakati sawa?
Endeleeni tu kutuona kila Siku kuwa Watanzania ni Mapopoma ( Wapumbavu ) sawa?
Yani unauwa uchumi kwa ajili ya Mkulima mmoja?Kuna mtu Ana shamba hapo pwani
Serikali nenda rudi inamuendekeza
Sana
Ova
Njema sana dear, shughuli tu za session mikoani ila nipo.Mkuu habari za siku, mbona adimu sana huku nimekuona leo moyo wangu umesuzika, mpaka naanza kuwaza alikosea sehemu kile kisima kikamhusu nini
Vyote kwa pamoja majibu anayo Maharage, mie nashukuru kama ni mzima wa afya Mungu aendelee kukutunza ,mie nimekuja kuzurura huku kwa lile jimama la PeramihoNjema sana dear, shughuli tu za session mikoani ila nipo.
Tunaendelea kujifunza jamvini;
nimesoma sana mijadlaa ila sijaelewa kati "upungufu wa umeme" na " mgao wa umeme".
Kama ni issue ya kunielewesha Kuna haja gani ya kunitukana kuwa Sina IQ? Au mistress ya bandari kuuzwa bado imekukaa kichwani?Huna IQ ya Kunielewa GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo acha kunipotezea muda Wangu sawa?
Kuna Fumbo Kubwa nimelifumba hapo na kuitumia Pwani na maemeo tajwa pamoja na Umeme na Mabwawa ila huna Akili ya Kunielewa na kamwe hutonielewa.
Muuza Ice Cream na Mstaafu Kicheko.Kuna mtu Ana shamba hapo pwani
Serikali nenda rudi inamuendekeza
Sana
Ova
Hopeless.Kama ni issue ya kunielewesha Kuna haja gani ya kunitukana kuwa Sina IQ? Au mistress ya bandari kuuzwa bado imekukaa kichwani?