Rais Samia, nikutakie kila la heri wakati huu mgumu kisiasa

October mwishoni 2023 jiandae kuwapokea DP World wakiwa wapangaji wapya pale bandarini, hizi siasa za kujifanya kumhurumia Rais ni za kupoteza muda tu.
 
Vipengele vya Mkataba vyenye changamoto vifanyiwe ukarabati

Tunataka Wawekezaji waendelee kumiminika ili tupate ajira
Aliyeuandaa mkataba ni msomi aliyesomea masuala ya mikataba na ameiandika mingi tu. Tatizo ni uelewa wetu wa kijamii bado upo chini sana, bado nchi imejaa wajinga wanaovaa masuti na kuendesha magari ya bei mbaya.
 
yeye Samia anajitakia , madai ya wakosoaj yalikuwa mepesi sana , MUDA WA MKATABA
 
mahakama ipi ? aliyosema Manji kuwa ni simu moja tu inatoa hukumu
 
Hakuna mahali pa kurekebisha, turekebishe kwanza uelewa wetu vichwani mwetu. Tatizo la Tanzania imejaa wajuaji wanaodhani wanajua kila kitu kumbe ni zero vichwani.
 
Chawa wa viongozi matapeli ulioshauri kuwajibishwa wanakuja kukutukana muda si mrefu.

Andiko lako ni la hekima kubwa
 
Timua Tulia Ackson hana msaada kwako
 
Wakati mwingine kaa kimya we binti. Kwenye kila thread umo tu
 
Vipengele vya Mkataba vyenye changamoto vifanyiwe ukarabati

Tunataka Wawekezaji waendelee kumiminika ili tupate ajira
kwa akii za ccmu , hilo neno kuboresha ni kukaa uwekezaj , na ndo wamekuwa wanawaambia watanzania
 
unajaribu kumwelewesh form 4 failure?
 
Mahakama hiyo hiyo ilisema haiwezi kutoa maamuzi kuepuka mgongano na bunge
 
unapoteza muda kumwelesha form four failure , huyo jamaa nmekuwa namfuatilia muda tu ni mtupu kichwan , yeye analeta mamb ya simba na yanga kweny maswala nyeti ya kitaifa
 
Mkataba Huu Wa IGA Ni mzuri na una maslahi kwa Taifa ila Unahitaji marekebisho machache tu ila ni mkataba mzuri sna na wenye lengo la kuongeza ufanisi na uchumi kwenye nchi yetu uoande wa Bandari..
PONGEZI KWAKE MH RAIS
na kwann wasifanye maboresho?
 
Halafu watakwambia mihimili iheshimiwe
mihimili ipi hiyo ya kuheshimiwa? Serikali ambayo inaruhus wabunge wake wanapelekwa nje kushawishiwa kana kwamba hatuna barozi , au wazir uchukuz , au BUNGE lisilowasilisha maoni ya wananchi au Mahakama ambay inayochaguliwa na serikali (Rais) viongoz wote wa juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…