Kijungu Moto
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 307
- 491
Wewe ni muumini waoMaaskofu wote wa Kanisa Katoliki wanasema ufutwe. Mimi ni nani mpaka nipingane na wawakilishi wa sauti ya Mungu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni muumini waoMaaskofu wote wa Kanisa Katoliki wanasema ufutwe. Mimi ni nani mpaka nipingane na wawakilishi wa sauti ya Mungu?
October mwishoni 2023 jiandae kuwapokea DP World wakiwa wapangaji wapya pale bandarini, hizi siasa za kujifanya kumhurumia Rais ni za kupoteza muda tu.Natanguliza kumpa heri na pole Mama yetu Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Haya mazonge zonge ya DP World yaliyotokea katika hii miezi karibia minne hivi yanatosha kumchosha mwanasiasa yeyote.
Yaliyotokea si bahati mbaya, ni mipango iliyosukwa na hatimaye kupata ridhaa ya Taasisi ya Urais.
Makosa tumeyaona, na ni maoni yangu kamba mama Samia ni msikivu na atayashughulikia kadri ya ushauri ulitolewa na wananci mbali mbali.
Tatizo linakuja pale waliomwingiza mama Samia katika shimo hili la kisiasa kuendelea kukaa kwenye viti vyao.
Kwanza , wale waliobuni tatizo hili lazima waondolewe na washughulikiwe kwa mujibu wa sheria.
Nitashangaa kama Profesa Mbarawa ataendelea kukalia kiti chake pamoja na Katibu Mkuu wake.
Wana sema Tanzania sasa imeingia into disrepute kimataifa, kutokana na suala hili la DP World.
Nchi imeingia aibu, na kuna uwezekano wa kushitakiwa na kupoteza fedha zetu za wakulima na wafanyakazi wa nchi hii.
Pili, mama usijesikiliza ushauri wa kuzima moto kwa kuukalia moto na kubambika kesi zisizo na mbele wala nyuma ili kunyamazisha upinzani kwa suala la DP World.
Kesi ya Uhaini imekaa kijinga, na kila mtu anajua hilo.
Waliobuni kesi hii ya uhaini, kina IGP Wambura , wanakuingiza shimoni zaidi, gutuka ujitoe huko!
Kama kuna watu wana uwezo wa kufanya uhaini, ni wale wale ulio nao High Table yako.
Na hapo hapo niseme siungi mkono kutukana viongozi wetu, kwa kadri ya utamaduni wa nchi yetu.
Tatu, mama ukitatua hili la DP World na ukatoka salama, bado watanzania wanaimani na wewe 2025, na tusiichezee fursa hii.
Nne, Serikali yako na Bunge nadiriki kusema katika sakata hili la DP World hawajakusaidia kiuhalisia, na sababu za kufanya hivyo hazieleweki. Wengi wanajisahau kuwa mtu wa mwisho kukubali au kukataa kitu chenye kuleta hisia kama sakata la DP World ni wananchi wenyewe.
Na wananchi kiujumla wamesema bila kupepesa macho, mkataba wa DP World kama ulivyo ni HAPANA.
Mwisho nimtakie Mama Samia siku njema ili maamuzi yake yawe na tija kwake kisiasa na kwa watanzania kwa ujumla.
Week end njema.
Aliyeuandaa mkataba ni msomi aliyesomea masuala ya mikataba na ameiandika mingi tu. Tatizo ni uelewa wetu wa kijamii bado upo chini sana, bado nchi imejaa wajinga wanaovaa masuti na kuendesha magari ya bei mbaya.Vipengele vya Mkataba vyenye changamoto vifanyiwe ukarabati
Tunataka Wawekezaji waendelee kumiminika ili tupate ajira
yeye Samia anajitakia , madai ya wakosoaj yalikuwa mepesi sana , MUDA WA MKATABANatanguliza kumpa heri na pole Mama yetu Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Haya mazonge zonge ya DP World yaliyotokea katika hii miezi karibia minne hivi yanatosha kumchosha mwanasiasa yeyote.
Yaliyotokea si bahati mbaya, ni mipango iliyosukwa na hatimaye kupata ridhaa ya Taasisi ya Urais.
Makosa tumeyaona, na ni maoni yangu kamba mama Samia ni msikivu na atayashughulikia kadri ya ushauri ulitolewa na wananci mbali mbali.
Tatizo linakuja pale waliomwingiza mama Samia katika shimo hili la kisiasa kuendelea kukaa kwenye viti vyao.
Kwanza , wale waliobuni tatizo hili lazima waondolewe na washughulikiwe kwa mujibu wa sheria.
Nitashangaa kama Profesa Mbarawa ataendelea kukalia kiti chake pamoja na Katibu Mkuu wake.
Wana sema Tanzania sasa imeingia into disrepute kimataifa, kutokana na suala hili la DP World.
Nchi imeingia aibu, na kuna uwezekano wa kushitakiwa na kupoteza fedha zetu za wakulima na wafanyakazi wa nchi hii.
Pili, mama usijesikiliza ushauri wa kuzima moto kwa kuukalia moto na kubambika kesi zisizo na mbele wala nyuma ili kunyamazisha upinzani kwa suala la DP World.
Kesi ya Uhaini imekaa kijinga, na kila mtu anajua hilo.
Waliobuni kesi hii ya uhaini, kina IGP Wambura , wanakuingiza shimoni zaidi, gutuka ujitoe huko!
Kama kuna watu wana uwezo wa kufanya uhaini, ni wale wale ulio nao High Table yako.
Na hapo hapo niseme siungi mkono kutukana viongozi wetu, kwa kadri ya utamaduni wa nchi yetu.
Tatu, mama ukitatua hili la DP World na ukatoka salama, bado watanzania wanaimani na wewe 2025, na tusiichezee fursa hii.
Nne, Serikali yako na Bunge nadiriki kusema katika sakata hili la DP World hawajakusaidia kiuhalisia, na sababu za kufanya hivyo hazieleweki. Wengi wanajisahau kuwa mtu wa mwisho kukubali au kukataa kitu chenye kuleta hisia kama sakata la DP World ni wananchi wenyewe.
Na wananchi kiujumla wamesema bila kupepesa macho, mkataba wa DP World kama ulivyo ni HAPANA.
Mwisho nimtakie Mama Samia siku njema ili maamuzi yake yawe na tija kwake kisiasa na kwa watanzania kwa ujumla.
Week end njema.
mahakama ipi ? aliyosema Manji kuwa ni simu moja tu inatoa hukumuWakati mgumu kisiasa kivipi? Yaani Mahakama imetoa uamuzi Mkataba uendelee na Ibara ya 107A ya Katiba inasema Mahakama ndo mhimili wenye sauti ya mwisho katika kutoa haki alafu unasema Rais yupo kwenye wakati mgumu?
Hivi nyie watu hata shule mlifika kweli?
Hakuna mahali pa kurekebisha, turekebishe kwanza uelewa wetu vichwani mwetu. Tatizo la Tanzania imejaa wajuaji wanaodhani wanajua kila kitu kumbe ni zero vichwani.Hata ukirekebishwa bado hatuwezi kuuamini. Tayari umeshachafuka sana. Marekebisho wangefanya bungeni ingolstadt maana. Kwa sasa maaskofu wameshasema ufutwe. Hatutaki kuyumbishwa na propaganda za kudanyanya unarekebishwa kumbe wanaweza kuleta mbovu zaidi ya wa awali.
tukikuchunguza lzm ni form 4 failureSisi wahenga tumekwisha mvisha gamba gumu,tofauti na unavyofikiria kwani hakuna cha kumteteresha kimaamuzi.
GO FORWARD GO!,OUR LOVELY PRESIDENT....!
angesikiliza maoni ya wakosoaj ambayo yapo waz na hata kichaa anaelewa , MUDA WA MKATABAMungu wa mbinguni hutupa majaribu yaliyo katika Uwezo wetu kuyakabili
Rais Samia atatuvusha!
Mchelea mwana kulia, hulia yeyeTatizo linakuja pale waliomwingiza mama Samia katika shimo hili la kisiasa kuendelea kukaa kwenye viti vyao.
form 4 failure wwNakuhakikishia hilo lisahau
Chawa wa viongozi matapeli ulioshauri kuwajibishwa wanakuja kukutukana muda si mrefu.Natanguliza kumpa heri na pole Mama yetu Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Haya mazonge zonge ya DP World yaliyotokea katika hii miezi karibia minne hivi yanatosha kumchosha mwanasiasa yeyote.
Yaliyotokea si bahati mbaya, ni mipango iliyosukwa na hatimaye kupata ridhaa ya Taasisi ya Urais.
Makosa tumeyaona, na ni maoni yangu kamba mama Samia ni msikivu na atayashughulikia kadri ya ushauri ulitolewa na wananci mbali mbali.
Tatizo linakuja pale waliomwingiza mama Samia katika shimo hili la kisiasa kuendelea kukaa kwenye viti vyao.
Kwanza , wale waliobuni tatizo hili lazima waondolewe na washughulikiwe kwa mujibu wa sheria.
Nitashangaa kama Profesa Mbarawa ataendelea kukalia kiti chake pamoja na Katibu Mkuu wake.
Wana sema Tanzania sasa imeingia into disrepute kimataifa, kutokana na suala hili la DP World.
Nchi imeingia aibu, na kuna uwezekano wa kushitakiwa na kupoteza fedha zetu za wakulima na wafanyakazi wa nchi hii.
Pili, mama usijesikiliza ushauri wa kuzima moto kwa kuukalia moto na kubambika kesi zisizo na mbele wala nyuma ili kunyamazisha upinzani kwa suala la DP World.
Kesi ya Uhaini imekaa kijinga, na kila mtu anajua hilo.
Waliobuni kesi hii ya uhaini, kina IGP Wambura , wanakuingiza shimoni zaidi, gutuka ujitoe huko!
Kama kuna watu wana uwezo wa kufanya uhaini, ni wale wale ulio nao High Table yako.
Na hapo hapo niseme siungi mkono kutukana viongozi wetu, kwa kadri ya utamaduni wa nchi yetu.
Tatu, mama ukitatua hili la DP World na ukatoka salama, bado watanzania wanaimani na wewe 2025, na tusiichezee fursa hii.
Nne, Serikali yako na Bunge nadiriki kusema katika sakata hili la DP World hawajakusaidia kiuhalisia, na sababu za kufanya hivyo hazieleweki. Wengi wanajisahau kuwa mtu wa mwisho kukubali au kukataa kitu chenye kuleta hisia kama sakata la DP World ni wananchi wenyewe.
Na wananchi kiujumla wamesema bila kupepesa macho, mkataba wa DP World kama ulivyo ni HAPANA.
Mwisho nimtakie Mama Samia siku njema ili maamuzi yake yawe na tija kwake kisiasa na kwa watanzania kwa ujumla.
Week end njema.
Timua Tulia Ackson hana msaada kwakoNne, Serikali yako na Bunge nadiriki kusema katika sakata hili la DP World hawajakusaidia kiuhalisia, na sababu za kufanya hivyo hazieleweki. Wengi wanajisahau kuwa mtu wa mwisho kukubali au kukataa kitu chenye kuleta hisia kama sakata la DP World ni wananchi wenyewe.
Na wananchi kiujumla wamesema bila kupepesa macho, mkataba wa DP World kama ulivyo ni HAPANA.
Wakati mwingine kaa kimya we binti. Kwenye kila thread umo tuWakati mgumu kisiasa kivipi? Yaani Mahakama imetoa uamuzi Mkataba uendelee na Ibara ya 107A ya Katiba inasema Mahakama ndo mhimili wenye sauti ya mwisho katika kutoa haki alafu unasema Rais yupo kwenye wakati mgumu?
Hivi nyie watu hata shule mlifika kweli?
kwa akii za ccmu , hilo neno kuboresha ni kukaa uwekezaj , na ndo wamekuwa wanawaambia watanzaniaVipengele vya Mkataba vyenye changamoto vifanyiwe ukarabati
Tunataka Wawekezaji waendelee kumiminika ili tupate ajira
unajaribu kumwelewesh form 4 failure?Kumbe we jamaa kichwani una akili nzuri tu, sa sijui muda mwingine inakuwaje.
Anyway......
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Mahakama hiyo hiyo ilisema haiwezi kutoa maamuzi kuepuka mgongano na bungeWakati mgumu kisiasa kivipi? Yaani Mahakama imetoa uamuzi Mkataba uendelee na Ibara ya 107A ya Katiba inasema Mahakama ndo mhimili wenye sauti ya mwisho katika kutoa haki alafu unasema Rais yupo kwenye wakati mgumu?
Hivi nyie watu hata shule mlifika kweli?
unapoteza muda kumwelesha form four failure , huyo jamaa nmekuwa namfuatilia muda tu ni mtupu kichwan , yeye analeta mamb ya simba na yanga kweny maswala nyeti ya kitaifaHivi ulipata bahati ya kusoma Kweli hukumu yakesi hiyo ya 5 ya mwaka 2023 au ulisimuliwa...Kwanza mahakama imesema kwamba haina uwezo wa kutoa uamuzi huo ulipitishwa na bunge... so kwa mujibu wako tukubaliane kuwa mahakama imevunja Katiba kwa kujipunguzia madarak kwa mujibu wa sheria kulingana na ibara ya katiba ulioitoa
na kwann wasifanye maboresho?Mkataba Huu Wa IGA Ni mzuri na una maslahi kwa Taifa ila Unahitaji marekebisho machache tu ila ni mkataba mzuri sna na wenye lengo la kuongeza ufanisi na uchumi kwenye nchi yetu uoande wa Bandari..
PONGEZI KWAKE MH RAIS
mihimili ipi hiyo ya kuheshimiwa? Serikali ambayo inaruhus wabunge wake wanapelekwa nje kushawishiwa kana kwamba hatuna barozi , au wazir uchukuz , au BUNGE lisilowasilisha maoni ya wananchi au Mahakama ambay inayochaguliwa na serikali (Rais) viongoz wote wa juuHalafu watakwambia mihimili iheshimiwe
Mm ni graduate tena sio wa vyuo vyenu vya Mlimani...tukikuchunguza lzm ni form 4 failure