Bravo kwa ujasiri mkuu. Ila pia nawe uwe unajiandaa kusahau huu ujasiri maana hayaendi tu vile tutakavyo.Nakuhakikishia hilo lisahau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bravo kwa ujasiri mkuu. Ila pia nawe uwe unajiandaa kusahau huu ujasiri maana hayaendi tu vile tutakavyo.Nakuhakikishia hilo lisahau
Umeniuzi sana Ebo! Nyuzi mbaya haina hata pointi kabisa. Mama anakubalika na mkataba lazima utekelezwe!Natanguliza kumpa heri na pole Mama yetu Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Haya mazonge zonge ya DP World yaliyotokea katika hii miezi karibia minne hivi yanatosha kumchosha mwanasiasa yeyote.
Yaliyotokea si bahati mbaya, ni mipango iliyosukwa na hatimaye kupata ridhaa ya Taasisi ya Urais.
Makosa tumeyaona, na ni maoni yangu kamba mama Samia ni msikivu na atayashughulikia kadri ya ushauri ulitolewa na wananci mbali mbali.
Tatizo linakuja pale waliomwingiza mama Samia katika shimo hili la kisiasa kuendelea kukaa kwenye viti vyao.
Kwanza , wale waliobuni tatizo hili lazima waondolewe na washughulikiwe kwa mujibu wa sheria.
Nitashangaa kama Profesa Mbarawa ataendelea kukalia kiti chake pamoja na Katibu Mkuu wake.
Wana sema Tanzania sasa imeingia into disrepute kimataifa, kutokana na suala hili la DP World.
Nchi imeingia aibu, na kuna uwezekano wa kushitakiwa na kupoteza fedha zetu za wakulima na wafanyakazi wa nchi hii.
Pili, mama usijesikiliza ushauri wa kuzima moto kwa kuukalia moto na kubambika kesi zisizo na mbele wala nyuma ili kunyamazisha upinzani kwa suala la DP World.
Kesi ya Uhaini imekaa kijinga, na kila mtu anajua hilo.
Waliobuni kesi hii ya uhaini, kina IGP Wambura , wanakuingiza shimoni zaidi, gutuka ujitoe huko!
Kama kuna watu wana uwezo wa kufanya uhaini, ni wale wale ulio nao High Table yako.
Na hapo hapo niseme siungi mkono kutukana viongozi wetu, kwa kadri ya utamaduni wa nchi yetu.
Tatu, mama ukitatua hili la DP World na ukatoka salama, bado watanzania wanaimani na wewe 2025, na tusiichezee fursa hii.
Nne, Serikali yako na Bunge nadiriki kusema katika sakata hili la DP World hawajakusaidia kiuhalisia, na sababu za kufanya hivyo hazieleweki. Wengi wanajisahau kuwa mtu wa mwisho kukubali au kukataa kitu chenye kuleta hisia kama sakata la DP World ni wananchi wenyewe.
Na wananchi kiujumla wamesema bila kupepesa macho, mkataba wa DP World kama ulivyo ni HAPANA.
Mwisho nimtakie Mama Samia siku njema ili maamuzi yake yawe na tija kwake kisiasa na kwa watanzania kwa ujumla.
Week end njema.
Kama senge vile, lione kwanzaWakati mgumu kisiasa kivipi? Yaani Mahakama imetoa uamuzi Mkataba uendelee na Ibara ya 107A ya Katiba inasema Mahakama ndo mhimili wenye sauti ya mwisho katika kutoa haki alafu unasema Rais yupo kwenye wakati mgumu?
Hivi nyie watu hata shule mlifika kweli?
Hivi ulipata bahati ya kusoma Kweli hukumu yakesi hiyo ya 5 ya mwaka 2023 au ulisimuliwa...Kwanza mahakama imesema kwamba haina uwezo wa kutoa uamuzi huo ulipitishwa na bunge... so kwa mujibu wako tukubaliane kuwa mahakama imevunja Katiba kwa kujipunguzia madarak kwa mujibu wa sheria kulingana na ibara ya katiba ulioitoaWakati mgumu kisiasa kivipi? Yaani Mahakama imetoa uamuzi Mkataba uendelee na Ibara ya 107A ya Katiba inasema Mahakama ndo mhimili wenye sauti ya mwisho katika kutoa haki alafu unasema Rais yupo kwenye wakati mgumu?
Hivi nyie watu hata shule mlifika kweli?
Yeye ndo alisafiri Kwenda uarabuni na aliwaagiza wasasaidizi wake akina Mbarawa wahakikishe mkataba huu unakuwa siri.Natanguliza kumpa heri na pole Mama yetu Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Haya mazonge zonge ya DP World yaliyotokea katika hii miezi karibia minne hivi yanatosha kumchosha mwanasiasa yeyote.
Yaliyotokea si bahati mbaya, ni mipango iliyosukwa na hatimaye kupata ridhaa ya Taasisi ya Urais.
Makosa tumeyaona, na ni maoni yangu kamba mama Samia ni msikivu na atayashughulikia kadri ya ushauri ulitolewa na wananci mbali mbali.
Tatizo linakuja pale waliomwingiza mama Samia katika shimo hili la kisiasa kuendelea kukaa kwenye viti vyao.
Kwanza , wale waliobuni tatizo hili lazima waondolewe na washughulikiwe kwa mujibu wa sheria.
Nitashangaa kama Profesa Mbarawa ataendelea kukalia kiti chake pamoja na Katibu Mkuu wake.
Wana sema Tanzania sasa imeingia into disrepute kimataifa, kutokana na suala hili la DP World.
Nchi imeingia aibu, na kuna uwezekano wa kushitakiwa na kupoteza fedha zetu za wakulima na wafanyakazi wa nchi hii.
Pili, mama usijesikiliza ushauri wa kuzima moto kwa kuukalia moto na kubambika kesi zisizo na mbele wala nyuma ili kunyamazisha upinzani kwa suala la DP World.
Kesi ya Uhaini imekaa kijinga, na kila mtu anajua hilo.
Waliobuni kesi hii ya uhaini, kina IGP Wambura , wanakuingiza shimoni zaidi, gutuka ujitoe huko!
Kama kuna watu wana uwezo wa kufanya uhaini, ni wale wale ulio nao High Table yako.
Na hapo hapo niseme siungi mkono kutukana viongozi wetu, kwa kadri ya utamaduni wa nchi yetu.
Tatu, mama ukitatua hili la DP World na ukatoka salama, bado watanzania wanaimani na wewe 2025, na tusiichezee fursa hii.
Nne, Serikali yako na Bunge nadiriki kusema katika sakata hili la DP World hawajakusaidia kiuhalisia, na sababu za kufanya hivyo hazieleweki. Wengi wanajisahau kuwa mtu wa mwisho kukubali au kukataa kitu chenye kuleta hisia kama sakata la DP World ni wananchi wenyewe.
Na wananchi kiujumla wamesema bila kupepesa macho, mkataba wa DP World kama ulivyo ni HAPANA.
Mwisho nimtakie Mama Samia siku njema ili maamuzi yake yawe na tija kwake kisiasa na kwa watanzania kwa ujumla.
Week end njema.
Nimelikubali sana andiko lako, ni kweli mama ana nia njema na watu ila amezungukwa na manyang'au.Kuna umuhimu wa kuwachukulia hatua kwa mujibu wa taratibu.Natanguliza kumpa heri na pole Mama yetu Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Haya mazonge zonge ya DP World yaliyotokea katika hii miezi karibia minne hivi yanatosha kumchosha mwanasiasa yeyote.
Yaliyotokea si bahati mbaya, ni mipango iliyosukwa na hatimaye kupata ridhaa ya Taasisi ya Urais.
Makosa tumeyaona, na ni maoni yangu kamba mama Samia ni msikivu na atayashughulikia kadri ya ushauri ulitolewa na wananci mbali mbali.
Tatizo linakuja pale waliomwingiza mama Samia katika shimo hili la kisiasa kuendelea kukaa kwenye viti vyao.
Kwanza , wale waliobuni tatizo hili lazima waondolewe na washughulikiwe kwa mujibu wa sheria.
Nitashangaa kama Profesa Mbarawa ataendelea kukalia kiti chake pamoja na Katibu Mkuu wake.
Wana sema Tanzania sasa imeingia into disrepute kimataifa, kutokana na suala hili la DP World.
Nchi imeingia aibu, na kuna uwezekano wa kushitakiwa na kupoteza fedha zetu za wakulima na wafanyakazi wa nchi hii.
Pili, mama usijesikiliza ushauri wa kuzima moto kwa kuukalia moto na kubambika kesi zisizo na mbele wala nyuma ili kunyamazisha upinzani kwa suala la DP World.
Kesi ya Uhaini imekaa kijinga, na kila mtu anajua hilo.
Waliobuni kesi hii ya uhaini, kina IGP Wambura , wanakuingiza shimoni zaidi, gutuka ujitoe huko!
Kama kuna watu wana uwezo wa kufanya uhaini, ni wale wale ulio nao High Table yako.
Na hapo hapo niseme siungi mkono kutukana viongozi wetu, kwa kadri ya utamaduni wa nchi yetu.
Tatu, mama ukitatua hili la DP World na ukatoka salama, bado watanzania wanaimani na wewe 2025, na tusiichezee fursa hii.
Nne, Serikali yako na Bunge nadiriki kusema katika sakata hili la DP World hawajakusaidia kiuhalisia, na sababu za kufanya hivyo hazieleweki. Wengi wanajisahau kuwa mtu wa mwisho kukubali au kukataa kitu chenye kuleta hisia kama sakata la DP World ni wananchi wenyewe.
Na wananchi kiujumla wamesema bila kupepesa macho, mkataba wa DP World kama ulivyo ni HAPANA.
Mwisho nimtakie Mama Samia siku njema ili maamuzi yake yawe na tija kwake kisiasa na kwa watanzania kwa ujumla.
Week end njema.
Wewe ndio wale wale wachawi wa MamaWakati mgumu kisiasa kivipi? Yaani Mahakama imetoa uamuzi Mkataba uendelee na Ibara ya 107A ya Katiba inasema Mahakama ndo mhimili wenye sauti ya mwisho katika kutoa haki alafu unasema Rais yupo kwenye wakati mgumu?
Hivi nyie watu hata shule mlifika kweli?
Hata ukirekebishwa bado hatuwezi kuuamini. Tayari umeshachafuka sana. Marekebisho wangefanya bungeni ingolstadt maana. Kwa sasa maaskofu wameshasema ufutwe. Hatutaki kuyumbishwa na propaganda za kudanyanya unarekebishwa kumbe wanaweza kuleta mbovu zaidi ya wa awali.Vipengele vya Mkataba vyenye changamoto vifanyiwe ukarabati
Tunataka Wawekezaji waendelee kumiminika ili tupate ajira
Maaskofu wote wa Kanisa Katoliki wanasema ufutwe. Mimi ni nani mpaka nipingane na wawakilishi wa sauti ya Mungu?Mkataba Huu Wa IGA Ni mzuri na una maslahi kwa Taifa ila Unahitaji marekebisho machache tu ila ni mkataba mzuri sna na wenye lengo la kuongeza ufanisi na uchumi kwenye nchi yetu uoande wa Bandari..
PONGEZI KWAKE MH RAIS
Ha ha ha!Umeniuzi sana Ebo! Nyuzi mbaya haina hata pointi kabisa. Mama anakubalika na mkataba lazima utekelezwe!
Wengi watauamini trust me cool heads will prevailHata ukirekebishwa bado hatuwezi kuuamini. Tayari umeshachafuka sana. Marekebisho wangefanya bungeni ingolstadt maana. Kwa sasa maaskofu wameshasema ufutwe. Hatutaki kuyumbishwa na propaganda za kudanyanya unarekebishwa kumbe wanaweza kuleta mbovu zaidi ya wa awali.
Mwenzako mshipa wa aibu ulishakatika mkuu na masikio yake yamefunikwa kila wakati.Natanguliza kumpa heri na pole Mama yetu Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Haya mazonge zonge ya DP World yaliyotokea katika hii miezi karibia minne hivi yanatosha kumchosha mwanasiasa yeyote.
Yaliyotokea si bahati mbaya, ni mipango iliyosukwa na hatimaye kupata ridhaa ya Taasisi ya Urais.
Makosa tumeyaona, na ni maoni yangu kamba mama Samia ni msikivu na atayashughulikia kadri ya ushauri ulitolewa na wananci mbali mbali.
Tatizo linakuja pale waliomwingiza mama Samia katika shimo hili la kisiasa kuendelea kukaa kwenye viti vyao.
Kwanza , wale waliobuni tatizo hili lazima waondolewe na washughulikiwe kwa mujibu wa sheria.
Nitashangaa kama Profesa Mbarawa ataendelea kukalia kiti chake pamoja na Katibu Mkuu wake.
Wana sema Tanzania sasa imeingia into disrepute kimataifa, kutokana na suala hili la DP World.
Nchi imeingia aibu, na kuna uwezekano wa kushitakiwa na kupoteza fedha zetu za wakulima na wafanyakazi wa nchi hii.
Pili, mama usijesikiliza ushauri wa kuzima moto kwa kuukalia moto na kubambika kesi zisizo na mbele wala nyuma ili kunyamazisha upinzani kwa suala la DP World.
Kesi ya Uhaini imekaa kijinga, na kila mtu anajua hilo.
Waliobuni kesi hii ya uhaini, kina IGP Wambura , wanakuingiza shimoni zaidi, gutuka ujitoe huko!
Kama kuna watu wana uwezo wa kufanya uhaini, ni wale wale ulio nao High Table yako.
Na hapo hapo niseme siungi mkono kutukana viongozi wetu, kwa kadri ya utamaduni wa nchi yetu.
Tatu, mama ukitatua hili la DP World na ukatoka salama, bado watanzania wanaimani na wewe 2025, na tusiichezee fursa hii.
Nne, Serikali yako na Bunge nadiriki kusema katika sakata hili la DP World hawajakusaidia kiuhalisia, na sababu za kufanya hivyo hazieleweki. Wengi wanajisahau kuwa mtu wa mwisho kukubali au kukataa kitu chenye kuleta hisia kama sakata la DP World ni wananchi wenyewe.
Na wananchi kiujumla wamesema bila kupepesa macho, mkataba wa DP World kama ulivyo ni HAPANA.
Mwisho nimtakie Mama Samia siku njema ili maamuzi yake yawe na tija kwake kisiasa na kwa watanzania kwa ujumla.
Week end njema.
Halafu watakwambia mihimili iheshimiweWakati mgumu kisiasa kivipi? Yaani Mahakama imetoa uamuzi Mkataba uendelee na Ibara ya 107A ya Katiba inasema Mahakama ndo mhimili wenye sauti ya mwisho katika kutoa haki alafu unasema Rais yupo kwenye wakati mgumu?
Hivi nyie watu hata shule mlifika kweli?
Uchawa nao ni kaziUmeniuzi sana Ebo! Nyuzi mbaya haina hata pointi kabisa. Mama anakubalika na mkataba lazima utekelezwe!
Si ajabu huyu anahusika na mkataba wenyewe!Wewe ndio wale wale wachawi wa Mama
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Natanguliza kumpa heri na pole Mama yetu Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Haya mazonge zonge ya DP World yaliyotokea katika hii miezi karibia minne hivi yanatosha kumchosha mwanasiasa yeyote.
Yaliyotokea si bahati mbaya, ni mipango iliyosukwa na hatimaye kupata ridhaa ya Taasisi ya Urais.
Makosa tumeyaona, na ni maoni yangu kamba mama Samia ni msikivu na atayashughulikia kadri ya ushauri ulitolewa na wananci mbali mbali.
Tatizo linakuja pale waliomwingiza mama Samia katika shimo hili la kisiasa kuendelea kukaa kwenye viti vyao.
Kwanza , wale waliobuni tatizo hili lazima waondolewe na washughulikiwe kwa mujibu wa sheria.
Nitashangaa kama Profesa Mbarawa ataendelea kukalia kiti chake pamoja na Katibu Mkuu wake.
Wana sema Tanzania sasa imeingia into disrepute kimataifa, kutokana na suala hili la DP World.
Nchi imeingia aibu, na kuna uwezekano wa kushitakiwa na kupoteza fedha zetu za wakulima na wafanyakazi wa nchi hii.
Pili, mama usijesikiliza ushauri wa kuzima moto kwa kuukalia moto na kubambika kesi zisizo na mbele wala nyuma ili kunyamazisha upinzani kwa suala la DP World.
Kesi ya Uhaini imekaa kijinga, na kila mtu anajua hilo.
Waliobuni kesi hii ya uhaini, kina IGP Wambura , wanakuingiza shimoni zaidi, gutuka ujitoe huko!
Kama kuna watu wana uwezo wa kufanya uhaini, ni wale wale ulio nao High Table yako.
Na hapo hapo niseme siungi mkono kutukana viongozi wetu, kwa kadri ya utamaduni wa nchi yetu.
Tatu, mama ukitatua hili la DP World na ukatoka salama, bado watanzania wanaimani na wewe 2025, na tusiichezee fursa hii.
Nne, Serikali yako na Bunge nadiriki kusema katika sakata hili la DP World hawajakusaidia kiuhalisia, na sababu za kufanya hivyo hazieleweki. Wengi wanajisahau kuwa mtu wa mwisho kukubali au kukataa kitu chenye kuleta hisia kama sakata la DP World ni wananchi wenyewe.
Na wananchi kiujumla wamesema bila kupepesa macho, mkataba wa DP World kama ulivyo ni HAPANA.
Mwisho nimtakie Mama Samia siku njema ili maamuzi yake yawe na tija kwake kisiasa na kwa watanzania kwa ujumla.
Week end njema.
Lord denning.Mkataba Huu Wa IGA Ni mzuri na una maslahi kwa Taifa ila Unahitaji marekebisho machache tu ila ni mkataba mzuri sna na wenye lengo la kuongeza ufanisi na uchumi kwenye nchi yetu uoande wa Bandari..
PONGEZI KWAKE MH RAIS
dah viongozi wetu Tz na Ccm, sisi wananchi tumewakosea nini jamani mpaka mnaingia mikataba mibovu kiasi hicho na kwanini mnaituingiza kwenye utumwa ktk nchi ya kwetu[emoji24]Kumbe we jamaa kichwani una akili nzuri tu, sa sijui muda mwingine inakuwaje.
Anyway......
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?