Rais Samia: Nilimwondoa Kidata TRA sababu niliona mwishoni atadata

Umeeleza vyema sana
 
Uhuni unaofanyika TRA unajulikana, kwa nini wahusika hawachukuliwi hatua?
 
Naelewa Kaka, hakuwa fisadi kabisa. Yeye na mambo yake ya Ujamaa. Shida alihisi kila mtu ni kama yeye. Akaamini akaweka mifumo yake, nadhani hapa unanielewa.
Ndipo tulipofikia hapa. Kuja kuondokana na hili jinamizi la ccm, tuache kazi tufanye kazi. Mizizi kuing'oa inatubidi tuichimbe sana.
 
Waungwana naomba mniambie kama nimeelewa vizuri. Yani mfano, Mimi nyumbani kwangu najua wezi wanaingilia wapi, badala nizibe pale wanapoingilia badala yake namwomba mwizi mmoja aje alinde pale wanapoingilia na awashauri wengine wasije Tena kuiba nyumbani kwangu?
 
Kidata alikwishafikia umri wa kustaafu
 
Tungekuwa na Gen Z inayojitambua vema mama angefurushwa ikulu kesho asubuhi!
Haiwezekani uendeshe nchi kwa kubahatisha hivi huku mamlaka yote umepewa na katiba!
Akifurushwa anaingia nani!?
 
Wewe umemuelewa mama Kama mie pia. Shida ya watu hawajui kuwa our brains are easily gravitate towards negative rather than positive. We can easily see and understand negative easily than positive.
That's the nature of our core being.
It's implanted in DNA. Unaweza unaishi na kijana since primary mpaka akawa engineer akaoa kabisa ukamjengea nyumba Ila akitoka kwako atakuwa anaona mabaya tu na sio mazuri
 
Kiongozi wa nchi anafahamu TRA kuna mianya ya wizi.na bado anawadekeza.ila sisi mtaani tunapata tabu na hizi kodi
 
Exactly.
Teuzi kama hizi msala sana
yaani unapewa marking scheme halafu ujitungie mtihani
 
We acha uongo wewe, Rais hawezi kuongea hayo.., weka video ndio nitaamini
 
Anaziba tundu la panya kwa mkate, angeishia kuwa Mrs somebody anatumbukiza taifa shimoni, hana huruma na kizazi chetu alitakiwa apigwe mawe yeye na watu wake mpaka kufa hii ni kufuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…