Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
islamic tena?? mbona haya si mambo ya dini mkuu...au ndo ubaguziIslamic wengi ni mipashoooooo sijui wanamatatizo
Yeye ndiye chanzo!😞Nyerere na hii ccm, ulituweza babu 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Umeeleza vyema sanaKwani kuna shida gani katika maneno hayo? Na je reality ni ipi? Kwani hizo tekniki alizozisema hazipo?
Au kwani wewe hufahamu mtu yeyote anayefanya kazi TRA au ndugu au jirani? Kuna unayemuona ni maskini?
Wanaposema wanataka mtu mwenye experience ya miaka kadhaa kwenye kazi na uzoefu fulani unadhani wanamaanisha uzoefu gani?
Nenda interview za madreva wa mabasi ya mikoani, unadnani kama hujawahi kuangusha gari au kugongana ndiyo utapata kazi kirahisi ? Hakuna mwenye biashara ya basi atakayetaka ukajifunzie kwake kuangusha basi.
Yusuf Juma Mwenda atapewa malengo ya kuvuka makusanyo ya kodi zaidi ya alivyofanya Kidata. Na kwa kuwa anajuwa wanavyoiba na kukwepa basi ndiye mtu sahihi. Kama hatatumia uzoefu wake, basi atampisha mtu mwingine
Uhuni unaofanyika TRA unajulikana, kwa nini wahusika hawachukuliwi hatua?Kwani kuna shida gani katika maneno hayo? Na je reality ni ipi? Kwani hizo tekniki alizozisema hazipo?
Au kwani wewe hufahamu mtu yeyote anayefanya kazi TRA au ndugu au jirani? Kuna unayemuona ni maskini?
Wanaposema wanataka mtu mwenye experience ya miaka kadhaa kwenye kazi na uzoefu fulani unadhani wanamaanisha uzoefu gani?
Nenda interview za madreva wa mabasi ya mikoani, unadnani kama hujawahi kuangusha gari au kugongana ndiyo utapata kazi kirahisi ? Hakuna mwenye biashara ya basi atakayetaka ukajifunzie kwake kuangusha basi.
Yusuf Juma Mwenda atapewa malengo ya kuvuka makusanyo ya kodi zaidi ya alivyofanya Kidata. Na kwa kuwa anajuwa wanavyoiba na kukwepa basi ndiye mtu sahihi. Kama hatatumia uzoefu wake, basi atampisha mtu mwingine
Naelewa Kaka, hakuwa fisadi kabisa. Yeye na mambo yake ya Ujamaa. Shida alihisi kila mtu ni kama yeye. Akaamini akaweka mifumo yake, nadhani hapa unanielewa.Nyerere alikuwa mwadilifu mno mzee yule. Mpaka leo anachekwa pamoja na watoto wake ambao aliwaacha "hawana kitu". Sijui yeye alishindwa nini kumteua Dullah mmoja akaitajirisha familia. Babu yule alikuwa na matatizo yake ila hili la ufisadi hapana!
CCM iliachana na Nyerere rasmi ilipoamua kuachana na Azimio la Arusha na kuja na lile la Zanzibar. Ni mtoto aliyeasi!
Akaimarishe mtandao wa weziMtoto wa Mjini, uhuni wote ulioko TRA kule umefanywa na wewe ukiwa mulemule pengine uli-participate”
Gen nyingine zimeshajipataGeneration nyingine zinakwama wapi hadi tutegemee na kuwalaumu Gen z?
Sio kweli. Ndo wanaongoza kwa kulalamikaGen nyingine zimeshajipata
Kidata alikwishafikia umri wa kustaafuAisee... huoni shida hapo?!
Mimi nimeona shida sekunde ya kwanza tu nilipoanza kumsoma, anamtoa Kidata TRA anayekiri kafanya vizuri eti kwasababu "atadata"!
Kwa hiyo sababu nyepesi aliyoitoa, nimeamini maneno ya wale waliosema anamuondoa Kidata kwasababu Abdul anataka mtu mwepesi ili am-control vizuri zaidi.
Hapo badala ya kumpeleka huyo Yusuph kuongeza mapato ya taifa, amempeleka kuongeza pato la familia yake kupitia mwanae.
Samia anatulaghai!.
Akifurushwa anaingia nani!?Tungekuwa na Gen Z inayojitambua vema mama angefurushwa ikulu kesho asubuhi!
Haiwezekani uendeshe nchi kwa kubahatisha hivi huku mamlaka yote umepewa na katiba!
Wewe umemuelewa mama Kama mie pia. Shida ya watu hawajui kuwa our brains are easily gravitate towards negative rather than positive. We can easily see and understand negative easily than positive.Kwani kuna shida gani katika maneno hayo? Na je reality ni ipi? Kwani hizo tekniki alizozisema hazipo?
Au kwani wewe hufahamu mtu yeyote anayefanya kazi TRA au ndugu au jirani? Kuna unayemuona ni maskini?
Wanaposema wanataka mtu mwenye experience ya miaka kadhaa kwenye kazi na uzoefu fulani unadhani wanamaanisha uzoefu gani?
Nenda interview za madreva wa mabasi ya mikoani, unadnani kama hujawahi kuangusha gari au kugongana ndiyo utapata kazi kirahisi ? Hakuna mwenye biashara ya basi atakayetaka ukajifunzie kwake kuangusha basi.
Yusuf Juma Mwenda atapewa malengo ya kuvuka makusanyo ya kodi zaidi ya alivyofanya Kidata. Na kwa kuwa anajuwa wanavyoiba na kukwepa basi ndiye mtu sahihi. Kama hatatumia uzoefu wake, basi atampisha mtu mwingine
Exactly.Wewe umemuelewa mama Kama mie pia. Shida ya watu hawajui kuwa our brains are easily gravitate towards negative rather than positive. We can easily see and understand negative easily than positive.
That's the nature of our core being.
It's implanted in DNA. Unaweza unaishi na kijana since primary mpaka akawa engineer akaoa kabisa ukamjengea nyumba Ila akitoka kwako atakuwa anaona mabaya tu na sio mazuri