ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mwenda unaijua vizuri TRA ulikuwa sijui Mkurugenzi wa kodi zipi lakini ulikuwa unajua mnaibia vipi na wenzio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao punguani lengo lao ni kupotosha na Kwa kuwa wanamchukia Samia basi watatafuta Kila maneno.Kwani kuna shida gani katika maneno hayo? Na je reality ni ipi? Kwani hizo tekniki alizozisema hazipo?
Au kwani wewe hufahamu mtu yeyote anayefanya kazi TRA au ndugu au jirani? Kuna unayemuona ni maskini?
Wanaposema wanataka mtu mwenye experience ya miaka kadhaa kwenye kazi na uzoefu fulani unadhani wanamaanisha uzoefu gani?
Nenda interview za madreva wa mabasi ya mikoani, unadnani kama hujawahi kuangusha gari au kugongana ndiyo utapata kazi kirahisi ? Hakuna mwenye biashara ya basi atakayetaka ukajifunzie kwake kuangusha basi.
Yusuf Juma Mwenda atapewa malengo ya kuvuka makusanyo ya kodi zaidi ya alivyofanya Kidata. Na kwa kuwa anajuwa wanavyoiba na kukwepa basi ndiye mtu sahihi. Kama hatatumia uzoefu wake, basi atampisha mtu mwingine
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema amemuondoa aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Alphayo Kidata kwenye nafasi yake kwakuwa aliona atadata kwa jinsi anavyoandamwa lakini amekiri kuwa TRA chini ya Kidata imefanya vizuri na kuongeza mapato hadi kufikia Tsh. trilioni 27.64, ambayo ni sawa na ufanisi wa 97.67% ya lengo la kukusanya Tsh. trilioni 28.30 katika kipindi cha Mwaka wa Fedha 2023/24 ambalo ni ongezeko la 14.50% ikilinganishwa na makusanyo ya Tsh. trilioni 24.14 katika Mwaka wa Fedha uliopita, 2022/23.
Akiongea leo July 05,2024, Ikulu ya Tunguu, Zanzibar wakati akiwaapisha Viongozi Wateule, Rais Samia amesema “Yusuph Mwenda kwanza hongera kwa kazi nzuri uliyofanya Zanzibar, tunakupeleka TRA (kuwa Kamishna mpya), TRA chini ya Kidata imefanya vizuri sana, mapato yamekua sana, sitegemei kama utashuka, kwanini nimemuondoa Kidata?, Kidata nimemuondoa niliona mwisho atadata, kazi kafanya nzuri sana lakini niliona atadata jinsi anavyoandamwa , sasa nakupeleka wewe Kijana wa Dar es salaam
Mtoto wa Mjini, uhuni wote ulioko TRA kule umefanywa na wewe ukiwa mulemule pengine uli-participate”
“Mipango yote mule ya kupenya, ya kufanyaje na Bandari mnatoa wapi mnapenyeza wapi unaijua Yusuph nenda kaizibe, nenda kaizibe, tunachohitaji ni mapato, tunachohitaji ni kupungua kukopa, tunakopa tunajichetua kila anayekuja akija European Bank yes yes, akija huyu Yes, World Bank wanatunyanyasa tumo tu, nini?, tuna miradi ya maendeleo inataka pesa, pesa hatuna tunakopa, tunakopa tunanyanyasika, je tukiwaomba itakuwaje?, kwahiyo twende tukanyanyue za kwetu”
“Serikali imefanya yote, tumeweka mazingira mazuri ya kufanya biashara, mazingira mazuri ya kufanya uwekezaji, Wawekezaji wanakuja, biashara zinafanyika kodi hazilipwi, Kariakoo pale tatizo ni kulipa kodi ukienda leo wanakuambia hiki kesho wanakuambia hiki, Kariakoo pekee yake kuna mapato kama yatakusanywa vizuri kwa mwaka yanaendesha Wizara tatu lakini hamkusanyi kuingia Serikalini, inawezekana mnakusanya kuingia mfukoni lakini hamkusanyi kuingiza Serikalini nenda kazibe hilo”
“Mwenda unaijua vizuri TRA ulikuwa sijui Mkurugenzi wa kodi zipi lakini ulikuwa unajua mnaibia vipi na wenzio kwahiyo yale mliokuwa mkiiba vichochoro vile nenda kazibe tunahitaji fedha, nimekuamini na najua utakwenda kufanya kazi”
#MillardAyoUPDATES
NB: Kiukweli 2025 tugangamale vingine tutakuja kuwa Zimbambwe iliyochangamka.
Mchawi mpe mtoto akulelelee. Katembea humoUnajua kama mtu ni mwizi halafu unampa kazi ya kwenda kukusanya mapato ya serikali!
Huyu mama anacheka Na nyani, tuttavuna mabuaRais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema amemuondoa aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Alphayo Kidata kwenye nafasi yake kwakuwa aliona atadata kwa jinsi anavyoandamwa lakini amekiri kuwa TRA chini ya Kidata imefanya vizuri na kuongeza mapato hadi kufikia Tsh. trilioni 27.64, ambayo ni sawa na ufanisi wa 97.67% ya lengo la kukusanya Tsh. trilioni 28.30 katika kipindi cha Mwaka wa Fedha 2023/24 ambalo ni ongezeko la 14.50% ikilinganishwa na makusanyo ya Tsh. trilioni 24.14 katika Mwaka wa Fedha uliopita, 2022/23.
Akiongea leo July 05,2024, Ikulu ya Tunguu, Zanzibar wakati akiwaapisha Viongozi Wateule, Rais Samia amesema “Yusuph Mwenda kwanza hongera kwa kazi nzuri uliyofanya Zanzibar, tunakupeleka TRA (kuwa Kamishna mpya), TRA chini ya Kidata imefanya vizuri sana, mapato yamekua sana, sitegemei kama utashuka, kwanini nimemuondoa Kidata?, Kidata nimemuondoa niliona mwisho atadata, kazi kafanya nzuri sana lakini niliona atadata jinsi anavyoandamwa , sasa nakupeleka wewe Kijana wa Dar es salaam
Mtoto wa Mjini, uhuni wote ulioko TRA kule umefanywa na wewe ukiwa mulemule pengine uli-participate”
“Mipango yote mule ya kupenya, ya kufanyaje na Bandari mnatoa wapi mnapenyeza wapi unaijua Yusuph nenda kaizibe, nenda kaizibe, tunachohitaji ni mapato, tunachohitaji ni kupungua kukopa, tunakopa tunajichetua kila anayekuja akija European Bank yes yes, akija huyu Yes, World Bank wanatunyanyasa tumo tu, nini?, tuna miradi ya maendeleo inataka pesa, pesa hatuna tunakopa, tunakopa tunanyanyasika, je tukiwaomba itakuwaje?, kwahiyo twende tukanyanyue za kwetu”
“Serikali imefanya yote, tumeweka mazingira mazuri ya kufanya biashara, mazingira mazuri ya kufanya uwekezaji, Wawekezaji wanakuja, biashara zinafanyika kodi hazilipwi, Kariakoo pale tatizo ni kulipa kodi ukienda leo wanakuambia hiki kesho wanakuambia hiki, Kariakoo pekee yake kuna mapato kama yatakusanywa vizuri kwa mwaka yanaendesha Wizara tatu lakini hamkusanyi kuingia Serikalini, inawezekana mnakusanya kuingia mfukoni lakini hamkusanyi kuingiza Serikalini nenda kazibe hilo”
“Mwenda unaijua vizuri TRA ulikuwa sijui Mkurugenzi wa kodi zipi lakini ulikuwa unajua mnaibia vipi na wenzio kwahiyo yale mliokuwa mkiiba vichochoro vile nenda kazibe tunahitaji fedha, nimekuamini na najua utakwenda kufanya kazi”
#MillardAyoUPDATES
NB: Kiukweli 2025 tugangamale vingine tutakuja kuwa Zimbambwe iliyochangamka.
Siyo kuwa watu wengi wa Pwani na Zanzibar? Au pengine chimbuko lake ni urabuni? Yaani ukimsikia Rias Ruto akizungumza na huyu wa kwetu ni kama tope la uozo na almasi.Islamic wengi ni mipashoooooo sijui wanamatatizo gani
Wanateuana hata kama wamedata na hata kama wanahusika na michongo watoto wa mjini hawaachani.Akiongea leo July 05,2024, Ikulu ya Tunguu, Zanzibar wakati akiwaapisha Viongozi Wateule, Rais Samia amesema “Yusuph Mwenda kwanza hongera kwa kazi nzuri uliyofanya Zanzibar, tunakupeleka TRA (kuwa Kamishna mpya), TRA chini ya Kidata imefanya vizuri sana, mapato yamekua sana, sitegemei kama utashuka, kwanini nimemuondoa Kidata?, Kidata nimemuondoa niliona mwisho atadata, kazi kafanya nzuri sana lakini niliona atadata jinsi anavyoandamwa , sasa nakupeleka wewe Kijana wa Dar es salaam
Mtoto wa Mjini, uhuni wote ulioko TRA kule umefanywa na wewe ukiwa mulemule pengine uli-participate”
Atamuua tu,achana na misemo ya uongo.Mchawi mpe mtoto akulelelee. Katembea humo
Aisee... huoni shida hapo?!Kwani kuna shida gani katika maneno hayo? Na je reality ni ipi? Kwani hizo tekniki alizozisema hazipo?
Au kwani wewe hufahamu mtu yeyote anayefanya kazi TRA au ndugu au jirani? Kuna unayemuona ni maskini?
Wanaposema wanataka mtu mwenye experience ya miaka kadhaa kwenye kazi na uzoefu fulani unadhani wanamaanisha uzoefu gani?
Nenda interview za madreva wa mabasi ya mikoani, unadnani kama hujawahi kuangusha gari au kugongana ndiyo utapata kazi kirahisi ? Hakuna mwenye biashara ya basi atakayetaka ukajifunzie kwake kuangusha basi.
Yusuf Juma Mwenda atapewa malengo ya kuvuka makusanyo ya kodi zaidi ya alivyofanya Kidata. Na kwa kuwa anajuwa wanavyoiba na kukwepa basi ndiye mtu sahihi. Kama hatatumia uzoefu wake, basi atampisha mtu mwingine
Generation nyingine zinakwama wapi hadi tutegemee na kuwalaumu Gen z?Tungekuwa na Gen Z inayojitambua vema mama angefurushwa ikulu kesho asubuhi!
Haiwezekani uendeshe nchi kwa kubahatisha hivi huku mamlaka yote umepewa na katiba!
Nyerere alikuwa mwadilifu mno mzee yule. Mpaka leo anachekwa pamoja na watoto wake ambao aliwaacha "hawana kitu". Sijui yeye alishindwa nini kumteua Dullah mmoja akaitajirisha familia. Babu yule alikuwa na matatizo yake ila hili la ufisadi hapana!Nyerere na hii ccm, ulituweza babu 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌