Mambo mengine serikali huwa inaongea as if haina watu wa kutizama mambo haya kwa kina..aliyebuni modal ya kufunga mita kwenye mitungi ya gas na kutumia kwa kununua kidogo kidogo ni mtanzania, alizungushwa zungushwa hapa nchi wanaofahamu thamani ya kuwa na watu wa aina hii wakachukua wazo lake likafanyiwa utafiti likakubalika na zipo nchi zinatumia gas ya kupikia kwa mfumo wa kununu kulingana na hela yako kama ilivyo kwa umeme..Tatizo bei za nishati ziko juu mno, hivyo utekelezekaji wa mpango huo kwa mwananchi asiyejua kesho anakula nini ni mgumu.
Mfano ingekuwa umeme ukinunua wa shilingi 1000/= unapata units 20 na mtungi mdogo wa gas unajazwa kwa Tsh 5,000/=, hapo malengo yangetimia.
Hii ajenda ya nishati safi ni wazo zuri, sielewi kitu gani kinakwamisha serikali au huyo anayetangaza kila siku kufanya pilot project kwenye baadhi ya wilaya na kata zenye changamoto kubwa ya mazingira ili kupima adoption rate na affordability..ni hela kidogo sana! ili hata huko anakoenda kuwahamasisha awaambie tayari kuna pilot project zinafanyika kwenye maeneo kadhaa waone hiyo seriousness kwa jambo hili kwanza kwake mwenyewe! unakwendaje kumwambia mtu akusupport huna hata cha kumuonyesha ulichofanya??? hivi lini tutajifunza kufanya wajibu wetu kabla ya kualika wengine tusaidiane nao??? kaenda cop 2023 na maneno tu, kaenda ufaransa na maneno tena..r ou serious???
Halafu nini kinakwamisha serikali isianze mradi kuweka bomba ya gas kuja dodoma?? hao TPDC hela za kutafiti mafuta ambayo wala hawana uhakika kama yapo wanazo, ila za kuanza mradi kuweka bomba ya gas kuja dodoma hawana, r these people serious??TPDC kuendelea kutafiti wa mafuta Bonde la Eyasi Wembere | Nipashe unatafiti mafuta ya nini wakati gas tayari unayo??? unataka kukimbiza ndege wawili kwa gharama ya kumwachia huyu mmoja uliyemkamata, ni akili au matope???
Hii ajenda ni ubabaishaji tu kuombea hela watu wale, hakuna lolote!