Rais Samia: Nimefikwa na janga la kupewa kiti cha Urais, Mumenishika mkono na kuniombea afya njema

Rais Samia: Nimefikwa na janga la kupewa kiti cha Urais, Mumenishika mkono na kuniombea afya njema

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Rais wa JMT mhe Samia amewashukuru wanawake kwa kumpa support ktk kipindi hiki kigumu ambapo amefikwa na janga la kupewa kiti cha urais.

(Source: TBC1)

Nini maoni yako juu ya kauli hii ya mhe rais Samia?
 
😁😁😁
oCeTF.jpg
 
Sijui kwanini wanasiasa wa Bongo hususani mwendazake na huyu mrithi wake wamekuwa wanafiki, Mwendazake alidai alijaribu tu akajikuta amesukumiziwa huko lakini badala ya kuachia ngazi ndio kwanza akawa anasuka mikakati ya kung'ang'ania madaraka leo tena na huyu mrithi wake anadai kurithi urais kwa mujibu wa katiba kwake ni janga lakini ilipodaiwa kwamba hana mpango wa kugombea 2025 amekuwa mkali kama pilipili badala ya kuona hiyo ndio fursa ya kuliepuka hilo janga!
 
Ndio mana maji hayatoki Dar es salaam na kiuongozi mkuu baada ya kutafuta namna anasema ni wananchi wenyewe ndio wamesababisha na sasa kaliacha kama adhabu kwa wananachi wake., tumefikia hapo.
 
Sijui kwanini wanasiasa wa Bongo hususani mwendazake na huyu mrithi wake wamekuwa wanafiki, Mwendazake alidai alijaribu tu akajikuta amesukumiziwa huko lakini badala ya kuachia ngazi ndio kwanza akawa anasuka mikakati ya kung'ang'ania madaraka leo tena na huyu mrithi wake anadai kurithi urais kwa mujibu wa katiba kwake ni janga lakini ilipodaiwa kwamba hana mpango wa kugombea 2025 amekuwa mkali kama pilipili badala ya kuona hiyo ndio fursa ya kuliepuka hilo janga!
Hawa wote Cha mtoto,kiboko ni Mbowe alibugia Faru John mpaka akavunja mguu,halafu akasema wasiojulikana wamefanya yao.

Akaunti zake zimefungwa kwa mgogoro wa kifamilia akadai TRA.
Hili ndo baba lao.
 
Hiyo kauli mmeipamba au kweli katamka yeye?

Huyu mama awekewe speedgoverner.

Mara ,"Wanawake tunsweza".

Men hawana lolote Ni madona wa mbegu tu.Tena aliongea mbele ya viongozi wa dini mambo ya kitchen party.

.Ushauri;
Apunguziwe shughuli za majukwaani.Siyo kila kitu ahutubie yeye.Atachuja kabla 2025
 
Back
Top Bottom