Ok sawa"Nimeona kina mama warembo kweli, wanang'ara kweli, warembo na wanang'ara hii ni dalili kwamba maji yapo, walikuwa wanapauka kwasababu maji hakuna na yale machache yaliyokuwa yanatafutwa yakifika baba anayasubiri, lakini leo
Kumbe maji yanaleta urembo eeh?
Anakula kimvulini huyo....Ina maana mgao wa maji hafahamu kwamba upo?
Ndiyo, maji yanachangia kuleta urembo na utanashati kwa Wanaume na Wanawake.Kumbe maji yanaleta urembo eeh?
Kwani lazima kuoga? Muhimu kula!Ndiyo, maji yanachangia kuleta urembo na utanashati kwa Wanaume na Wanawake.
Umeshawahi kukutana na mtu hajaoga siku 3 anavyonuka kikwapa na kufubaa ngozi.
Tatizo sio kulaza mabomba tatizo ni value for money Iko?Ila kiukweli naona kasi ya kutandaza mabomba ya maji Iko juu sana. Sijui Hilo wadau mnaliona kama mimi
Mkuu naona unataka kuungana na yule Daktari wa Mhimbili aliyesemaga eti kwa Wiki mtu anatakiwa kuoga mara 3 tu πKwani lazima kuoga? Muhimu kula!
HahahahaaaaaaMkuu naona unataka kuungana na yule Daktari wa Mhimbili aliyesemaga eti kwa Wiki mtu anatakiwa kuoga mara 3 tu π
Sisi wanaume usipooga siku moja tu kesho yake Boksa inakuwa haitamaniki, na Korodani ndiyo zitakuwa zinanuka balaa π
π π πHahahahaaaaaa