Rais Samia: Nimeona warembo, kweli maji yapo!

"Nimeona kina mama warembo kweli, wanang'ara kweli, warembo na wanang'ara hii ni dalili kwamba maji yapo, walikuwa wanapauka kwasababu maji hakuna na yale machache yaliyokuwa yanatafutwa yakifika baba anayasubiri, lakini leo wanang'aa kweli."

- Dkt. Samia Suluhu akiwa ziarani mkoani Singida katika eneo la Sagala jimbo la Singida Kaskazini.

Kumbe maji yanaleta urembo eeh?

EATV
Manyara Kuna Warembo sio wa Nchi hii.Na hivyo wamepata maji ya uhakika huko ni Kwa kuhamia.
 
"Nimeona kina mama warembo kweli, wanang'ara kweli, warembo na wanang'ara hii ni dalili kwamba maji yapo, walikuwa wanapauka kwasababu maji hakuna na yale machache yaliyokuwa yanatafutwa yakifika baba anayasubiri, lakini leo wanang'aa kweli."

- Dkt. Samia Suluhu akiwa ziarani mkoani Singida katika eneo la Sagala jimbo la Singida Kaskazini.

Kumbe maji yanaleta urembo eeh?

EATV
Aisee
 
wanawake wa singida hata wasipooga mwaka mzima hawawezi kupauka, wataendelea kuwa warembo tuu, labda ingekuwa wasukuma ndio wanagepauka pauuuuuu
 
Mimi kwetu bwana ni mwisho wa nchi, yaani dakika mbili tu nipo Mozambique, ila umeme umefika, mtandao wa maji upo, maji ndoo kubwa tshs 25. Mabomba mpaka yanapasuka.
 
Amejuaje ni warembo wakati ni mwanamke mwenzao, je, ameshirikiana na sisi mabaharia kufanya tathmini hiyo?
 
Back
Top Bottom