JK mwenyewe hajuwa na nia ya dhati.Aliyekuwa na nia njema na nchi hii kuhusu katiba mpya alikuwa JK basi, huyo mwingine ni legacy ya Magu tu CCM ni ileile
Kwanini unakata tamaa mapema hivi?Matumaini yetu yameyeyuka!
Hakuna future yeyote ya maana chini ya huyu mama!
Haya ndio maneno.Cha msingi ni kuweka pressure!
Vyama vya siasa viache kushiriki chaguzi za maigizo.
Civil societies lazima zikanyage mafuta.
Na wananchi tuamke. Tuache kushiriki chaguzi mpaka kitapoeleweka.
Cha msingi ni kuweka pressure!
Vyama vya siasa viache kushiriki chaguzi za maigizo.
Civil societies lazima zikanyage mafuta.
Na wananchi tuamke. Tuache kushiriki chaguzi mpaka kitapoeleweka.
Hiyo ndiyo hofu yao kuu,hawajiamini kwa kuzoea vya kunyonga.Ila hapa tunachohitaji ni Katiba ya Wananchi wa JMT na siyo ya CCM hivyo siyo hiari kuwasikiliza Wananchi wanataka nini.Kitendo cha mwana ccm yeyote kuruhusu kupatikana kwa katiba mpya ya ukweli ndiye atakuwa ameifuta rasmi kwenye ramani ya vyama vya siasa.
Umeona eehh... Uhai wa CCM uko kwenye katiba hii ya CCM, maana ilipatikana kipindi cha chama kimoja ccm. Ndiyo maana walibadili gear haraka sana kutoka kwenye katiba ya maoni ya wananchi, a.k.a katiba ya Warioba, hadi kuivuruga tukafika kwenye kile walichokiita katiba inayopendekezwa, iliyojadiliwa na "wabunge wa katiba" wa CCM baada ya wale wa UKAWA kuachana na mjadala huo.[emoji1787][emoji1787]
Awe wa kwanza CCM imfie kwenye utawala wake? Thubutu
Yani afufue katiba mpya ili iwafanye wawe chama cha upinzani?!Wana JF
Raisi Samia wakati akiwaapisha mawaziri amesema kuwa amepigiwa sana kelele kuhusu katiba mpya, ila kwa sasa anaomba tusahau kwanza . Swali ni je kuna uwezekano mama akarudisha mchakato wa katiba au ndio hapa kazi tu .?
Haki huinua taifa.
Nikiisoma kwa undani hii kauli, naona anaridhia mchakato wa katiba mpya, ila sio mwanzoni mwa kipindi hili ila mwishoni wakati mambo yatakapokuwa yamekaa sawa. Bado joto ni kali sana kuweza kuliongelea suala la katiba mpya katika mazingira haya yenye mvutano mkubwa na wa kihistoria ndani ya CCM. Tunapaswa kuelewa mazingira yaliyopelekea Mh Samia kuwa Rais wa JMT, na wakati huo huo chama hakina mwenyekiti wala katibu mkuu na huku kikiwa na makundi yanayosigana. Ni busara kuwazia jinsi ya kuleta utengamano ndani ya chama na ndani ya taifa ili kuweza kuweka mazingira ya kuiendea katiba mpya. Naamini Mh Rais Suluhu anatamani sana kuona mchakato wa katiba aliyoshiriki kuisimimamia kama makamu wa Spika wa Bunge la Katiba unafika mwisho. Wengi mtakumbuka alifanya kazi nzuri sana kushirikiana na wabunge wote wakati wa kutengeneza kanuni kabla ya Sitta kuja kuharibu mtiririko mzima hadi kupelekea kuibuka kwa UKAWA. Mh Suluhu ametamka Bunge la katiba katika siku zote mbili za kuapisha Makamu na mawaziri, ikimaanisha ni jambo analolipa lipaumbele cha juu, ila wakati bado haujaruhusu. Soma Mhubiri 3:1-8 "Kila kitu kina majira yake, kila jambo duniani lina wakati wake: Wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa; wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna kilichopandwa; wakati wa kuua na wakati wa kuponya; wakati wa kubomoa na wakati wa kujenga; wakati wa kulia na wakati wa kucheka;..."Wana JF
Raisi Samia wakati akiwaapisha mawaziri amesema kuwa amepigiwa sana kelele kuhusu katiba mpya, ila kwa sasa anaomba tusahau kwanza . Swali ni je kuna uwezekano mama akarudisha mchakato wa katiba au ndio hapa kazi tu .?
Haki huinua taifa.
Kuhusu katiba hilo tusahau na haitokaa itokee ikabadilishwa labda itokee Rais mgombea binafsi ashinde ndio aibadilishe katika katiba hiyo hiyo iliopo hakuna sehemu inasema kuwe na Rais mgombea binafsi.Wana JF
Raisi Samia wakati akiwaapisha mawaziri amesema kuwa amepigiwa sana kelele kuhusu katiba mpya, ila kwa sasa anaomba tusahau kwanza . Swali ni je kuna uwezekano mama akarudisha mchakato wa katiba au ndio hapa kazi tu .?
Haki huinua taifa.
Jibu mubasharaIla kwa sasa tusahau kwanza hapa ndipo jibu lilipo
Huyu Mama Akilala Akiota Ni Katiba .....Wana JF
Raisi Samia wakati akiwaapisha mawaziri amesema kuwa amepigiwa sana kelele kuhusu katiba mpya, ila kwa sasa anaomba tusahau kwanza . Swali ni je kuna uwezekano mama akarudisha mchakato wa katiba au ndio hapa kazi tu .?
Haki huinua taifa.
Iyo haikwepeki, ni hitaji MUHIM Kama kiongozi ambaye anaona kesho tz hawezi kuicha mwendazake yalikua manguvu ,kofoka, kutumbua ,uzalendo alihubiri Sana ila kwake katiba sidhani Kama alitaka kusikia kana kwamba katiba ni vyama, na sijui tz imara aliyokua anihubiri na wapambe wake sijui ni ipiWana JF
Raisi Samia wakati akiwaapisha mawaziri amesema kuwa amepigiwa sana kelele kuhusu katiba mpya, ila kwa sasa anaomba tusahau kwanza . Swali ni je kuna uwezekano mama akarudisha mchakato wa katiba au ndio hapa kazi tu .?
Haki huinua taifa.
Amina mkuuHiyo ndiyo hofu yao kuu,hawajiamini kwa kuzoea vya kunyonga.Ila hapa tunachohitaji ni Katiba ya Wananchi wa JMT na siyo ya CCM hivyo siyo hiari kuwasikiliza Wananchi wanataka nini.
Hayo yasipofanyika nchi hii inapotezwa na hawa CCM.Tudai Katiba ya Wananchi kwa faida ya Wananchi.
Yaani ni vyema tu kusema kuwa ccm inalindwa na katiba mbovu tuliyo nayo.Umeona eehh... Uhai wa CCM uko kwenye katiba hii ya CCM, maana ilipatikana kipindi cha chama kimoja ccm. Ndiyo maana walibadili gear haraka sana kutoka kwenye katiba ya maoni ya wananchi, a.k.a katiba ya Warioba, hadi kuivuruga tukafika kwenye kile walichokiita katiba inayopendekezwa, iliyojadiliwa na "wabunge wa katiba" wa CCM baada ya wale wa UKAWA kuachana na mjadala huo.
Tanzania tuna safari ndefu sana kuweza kujikomboa kutoka mikononi kwa kaburu ccmYani afufue katiba mpya ili iwafanye wawe chama cha upinzani?!