Risasi za nini tena?Haya ni mawazo ya kihutu!Jenga hoja kama binadamu na siyo kukimbila risasi,wewe unaweza kusimama mbele ya risasi za kudai haki?Sasa hapo ndo unakuwa unamkomoa nani? Wananvhi muamke, humu jF kuna mtu yeyote anaeweza kusimama bunduki ikikohoa hata risasi tatu mbele yake?
Mlikuwa mnmshabikia leo pingapinga Kama kawaida.Wanaamini kuwa wao ndiyo wenye mamlaka hapa duniani
Huyo mama hatuwezi kumpinga kwakuwa ni mama mwenye utu kabisa .Mlikuwa mnmshabikia leo pingapinga Kama kawaida.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Yaani Mara hii nyumbu mmesahau mlivyokuwa mnamfukana JK?Aliyekuwa na nia njema na nchi hii kuhusu katiba mpya alikuwa JK basi, huyo mwingine ni legacy ya Magu tu CCM ni ileile
Contrary na wengi wanavyofikiri katiba inakuja soon, kilichotokea ni slip of the tongue nini kipo kichwani kwake.
Mlikuwa mnatumaini kitu gani kilichoyeyuka?Matumaini yetu yameyeyuka!
Hakuna future yeyote ya maana chini ya huyu mama!
Naona sikuhizi ameanza kupaka lipstick na boda na ameanza kupendeza sana.Video hii hapa.
Dakika ya 9:20-9:27
Gellangi angalieni msije kibabe, wenzenu Kenya leo wanarekebisha ndani ya miaka 5 ili kumpinga Rutto asikamate usukaniHarakati zote kuanzia sasa ziwe kuhusu Katiba ya Wananchi. Watanzania tuhamasishane kudai Katiba yetu.CCM walitulaghai kuanzisha mchakato wa Katiba na wakauvuruga wenyewe kwa tamaa zao za madaraka haramu kwa gharama ya kodi zetu.
Tusikubali kuambiwa tusubiri kwanza?Tunasubiri nini?
Wewe kama umetoka huko na njaa zako, kuja kuparamia reply ambayo hujui msingi wa wake umetokana na hoja gani ya mtangulizi,sitakosea kukuita pimbi.Risasi za nini tena?Haya ni mawazo ya kihutu!Jenga hoja kama binadamu na siyo kukimbila risasi,wewe unaweza kusimama mbele ya risasi za kudai haki?
Chama gani kipo hai Kama CCM ilishajifia?Ccm ilishajifia sema tu inalindwa na wenye maguvu
Mgombea wenu raia wa Ubelgiji yupo anabishana na marehemu badala ya kuwaunganisha wapinzani....Bado miaka 4 na miez 7 tufanye maamuz yalio sahihi
Si kawaambia msahau kwanza sasa wewe unatuuliza sisi ili iweje.Wana JF
Raisi Samia wakati akiwaapisha mawaziri amesema kuwa amepigiwa sana kelele kuhusu katiba mpya, ila kwa sasa anaomba tusahau kwanza . Swali ni je kuna uwezekano mama akarudisha mchakato wa katiba au ndio hapa kazi tu .?
Haki huinua taifa.
Huyu mama nimesema nampa siku 100 ili nimfanyie tathmini ya kweli ya awali.Akikaza shingo kama alivyofanya mtangulizi wake, asitarajie kuacha historia ya maana. Akiurejesha na kuumalizia kwa matarajio ya Watanzania walio wengi, hakika atakumbukwa milele na vizazi vyote.
Kwasasa bado,itafika wakati Raia waliowengi na hata CCM wenyewe watahitaji katiba mpya.Wewe unadhani waliokomolewa ni hao tu.
Hujui uzao wako watakuwa ni wa mrengo gani
Odhis *
Kama huo ndio uchawi ngoja niloge tu.Acha uchawi we jamaa!
Hahahaaa...Mzee Mwanakijiji aliwaambia mapema sana lakini hamkumuelewa.
Sasa tutarajie matusi,kashfa na dharau,toka kwa upinzani
Mgombea wenu raia wa Ubelgiji yupo anabishana na marehemu badala ya kuwaunganisha wapinzani....
Upinzani wa nchi hii ni aibu kwa taifa!
Hivi kwa nini hamtaki kukubali kwamba CCM ilishakubali makosa,na kwamba CCM iliyopo sasa ni CCM mpya?Kwanza upinzani uko wapi wa kuwaletea Watanzania maendeleo.Haya makarai ya zege ya mabepari na watetea mashoga!Hatuwezi kuongozwa na watetea mashoga.Hivi Watanzania mnatuonaje,ni mabwege sana au.Miaka si
Miaka sitini ya uhuru ccm imeshindwa kukwanua watanzania ni maendeeo gani unayazungumzia mzee.
Kwangu Mimi kuwa na mifumo imara ni maendeeo makubwa sana kwani ni msingi wa maendeeo mengine yote.
Hivi sasa tunajenga msingi wa nyumba kwa biscuit. Tunatengeneza jamii kama Ile ya Libya ambayo itafika wakati watu Wana kitu ila hawaoni dhamani yao.
Hoja yako ni kuwa watu wakiingia barabarani wanatakiwa kupigwa risasi?Hayo ni mawazo ya aina gani?Haulazimishwi hoja na pia kutukana hakukufanyi kuwa mjenga hoja.Wewe kama umetoka huko na njaa zako, kuja kuparamia reply ambayo hujui msingi wa wake umetokana na hoja gani ya mtangulizi,sitakosea kukuita pimbi.....