Rais Samia: Nimepigiwa sana kelele kuhusu Katiba, ila kwa sasa tusahau kwanza

Rais Samia: Nimepigiwa sana kelele kuhusu Katiba, ila kwa sasa tusahau kwanza

Sasa hapo ndo unakuwa unamkomoa nani? Wananvhi muamke, humu jF kuna mtu yeyote anaeweza kusimama bunduki ikikohoa hata risasi tatu mbele yake?
Risasi za nini tena?Haya ni mawazo ya kihutu!Jenga hoja kama binadamu na siyo kukimbila risasi,wewe unaweza kusimama mbele ya risasi za kudai haki?
 
Hata ikija,kwa kiasi kikubwa itakuwa ni ile inayoiongezea
nguvu zaidi CCM.Maana wao wamejaa sana mjengoni kwa Sasa.
Kwasasa jaribuni kusahu,kama mlivyoambiwa.

Contrary na wengi wanavyofikiri katiba inakuja soon, kilichotokea ni slip of the tongue nini kipo kichwani kwake.
 
Asante sana mama,nikili wazi moyo wangu tangu kifo cha rais JPM ulipigwa ganzi nisijue cha kufanya,lakini hadi sasa mama Samia naona anafuata nyanyo za JPM ,hongera mama,Mungu akupe kheri na fanaka.

By tge way ,Chadema kama wanataka katiba Mpya waanze na ya chama chao kumuondoa life chairman, hon .mbowe ndo tuje kwenye katiba ya nchi
 
Harakati zote kuanzia sasa ziwe kuhusu Katiba ya Wananchi. Watanzania tuhamasishane kudai Katiba yetu.CCM walitulaghai kuanzisha mchakato wa Katiba na wakauvuruga wenyewe kwa tamaa zao za madaraka haramu kwa gharama ya kodi zetu.
Tusikubali kuambiwa tusubiri kwanza?Tunasubiri nini?
Gellangi angalieni msije kibabe, wenzenu Kenya leo wanarekebisha ndani ya miaka 5 ili kumpinga Rutto asikamate usukani
Katiba ina mambo mengi hata Mikutano baada ya ushindi kutangazwa isiwepo ila baada ya miaka 4 kupisha Kampeni, tuna suala la Muungano, teuzi mbalimbali za Kimamlaka nk
 
Risasi za nini tena?Haya ni mawazo ya kihutu!Jenga hoja kama binadamu na siyo kukimbila risasi,wewe unaweza kusimama mbele ya risasi za kudai haki?
Wewe kama umetoka huko na njaa zako, kuja kuparamia reply ambayo hujui msingi wa wake umetokana na hoja gani ya mtangulizi,sitakosea kukuita pimbi.

Niliyemquote alidai kuwa, nyinyi mnaolilia katiba mpya muipambanie, ndo nikahoji kama mnaweza kusimama bunduki ikikohoa hata risasi moja tu.

Ulivyo mjinga hoja yangu umeiona ya ajabu, ilhali viongozi wenu Kila siku wanawahimiza kuingia mabarabarani Ili mkabiliane na nguvu ya dola.
 
Wana JF

Raisi Samia wakati akiwaapisha mawaziri amesema kuwa amepigiwa sana kelele kuhusu katiba mpya, ila kwa sasa anaomba tusahau kwanza . Swali ni je kuna uwezekano mama akarudisha mchakato wa katiba au ndio hapa kazi tu .?

Haki huinua taifa.
Si kawaambia msahau kwanza sasa wewe unatuuliza sisi ili iweje.
 
Akikaza shingo kama alivyofanya mtangulizi wake, asitarajie kuacha historia ya maana. Akiurejesha na kuumalizia kwa matarajio ya Watanzania walio wengi, hakika atakumbukwa milele na vizazi vyote.
Huyu mama nimesema nampa siku 100 ili nimfanyie tathmini ya kweli ya awali.
 
Wewe unadhani waliokomolewa ni hao tu.

Hujui uzao wako watakuwa ni wa mrengo gani

Odhis *
Kwasasa bado,itafika wakati Raia waliowengi na hata CCM wenyewe watahitaji katiba mpya.
Muda ukifika wananchi wataingia lodi kama ikibidi, huku wakilindwa na polisi kudai katiba mpya.
 
Hahahaaa...Mzee Mwanakijiji aliwaambia mapema sana lakini hamkumuelewa.
Sasa tutarajie matusi,kashfa na dharau,toka kwa upinzani

Kuna mambo huwezi kuyazuia kwani huenda na wakati. Anachokifanya huyu mama na wanaccm wenzake nakifananisha na mwanamke mzee anayelazimisha kupaka Mkorogo ili aendelee kuonekana kigori.

Ukweli ni kuwa anakuwa kishazeeka. Jiwe mwenyewe alikuwa na kiburi cha madaraka, saa hii huko ardhini anagombewa na wadudu watu wakiendelea na mchakato wa katiba mpya. Uzuri Mungu wetu ni mkubwa, na wote wasiotaka matakwa ya wananchi watafurahi.
 
Miaka si
Miaka sitini ya uhuru ccm imeshindwa kukwanua watanzania ni maendeeo gani unayazungumzia mzee.
Kwangu Mimi kuwa na mifumo imara ni maendeeo makubwa sana kwani ni msingi wa maendeeo mengine yote.
Hivi sasa tunajenga msingi wa nyumba kwa biscuit. Tunatengeneza jamii kama Ile ya Libya ambayo itafika wakati watu Wana kitu ila hawaoni dhamani yao.
Hivi kwa nini hamtaki kukubali kwamba CCM ilishakubali makosa,na kwamba CCM iliyopo sasa ni CCM mpya?Kwanza upinzani uko wapi wa kuwaletea Watanzania maendeleo.Haya makarai ya zege ya mabepari na watetea mashoga!Hatuwezi kuongozwa na watetea mashoga.Hivi Watanzania mnatuonaje,ni mabwege sana au.
 
Wewe kama umetoka huko na njaa zako, kuja kuparamia reply ambayo hujui msingi wa wake umetokana na hoja gani ya mtangulizi,sitakosea kukuita pimbi.....
Hoja yako ni kuwa watu wakiingia barabarani wanatakiwa kupigwa risasi?Hayo ni mawazo ya aina gani?Haulazimishwi hoja na pia kutukana hakukufanyi kuwa mjenga hoja.

Tanzania ni yetu sote na ni kubwa kuliko vyama au watawala.
 
Back
Top Bottom