Hao wengi wao hawaangalii nini wataacha kwa wananchi bali wanatazama mafanikio ya chama chao kama kipo salama.Akikaza shingo kama alivyofanya mtangulizi wake, asitarajie kuacha historia ya maana. Akiurejesha na kuumalizia kwa matarajio ya Watanzania walio wengi, hakika atakumbukwa milele na vizazi vyote.
Wanaamini kuwa wao ndiyo wenye mamlaka hapa dunianiNeno tusahau "ondoa akili kabisa,usiwe na hilo wazo"
hata kingekua chadema kingefanya hivi hiviHao wengi wao hawaangalii nini wataacha kwa wananchi bali wanatazama mafanikio ya chama chao kama kipo salama.
Huna akili wewealiyekuwa na nia njema na chi hii kuusu katiba mpya alikuwa JK bac,huyo mwingine ni legcy ya magu tu ccm ni ileile
Na walimtukana matusi yote,Weka mambo In JK Voice😂😂😂Hahahaaa...Mzee Mwanakijiji aliwaambia mapema sana lakini hamkumuelewa.
Sasa tutarajie matusi,kashfa na dharau,toka kwa upinzani
Da yaani hii nchi bila maamuzi magumu hatutatoka hapa tulipo, maana haki zetu zimekuwa kama hisaniWanaamini kuwa wao ndiyo wenye mamlaka hapa duniani
Wi neva noo [emoji847][emoji847]Mei bii......
Wacha kuilinganisha na huo ujinga wenu wa ccmhata kingekua chadema kingefanya hivi hivi
aliyekuwa na nia njema na chi hii kuusu katiba mpya alikuwa JK bac,huyo mwingine ni legcy ya magu tu ccm ni ileile