Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Akili za kilumumba hizi,hivi unajua maana ya mubashara?Jibu mubashara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili za kilumumba hizi,hivi unajua maana ya mubashara?Jibu mubashara
Anaweza kukubali huo mchakato ukaanza maana yeye hana sana sababu za kutufanyia ukatili wakati yeye akimaliza uongozi wake anarudi zake zenji kutafuna bata wake.Huyu Mama Akilala Akiota Ni Katiba .....
Kimsingi tunakubaliana kila mmoja kwa miaka hii mitano na ushee ameona madhara ya kuwa na katiba yenye upenyo wa kumfanya mtu awe dikteta ....., nadhani wampe mama angalau mwaka mmoja aweke mambo sawa ...nina imani kabisa kufikia mwaka 2022 mwishoni atakuja na katiba mpya ambayo itatumika uchaguzi mkuu wa 2025 na kumfanya Rais wa kwanza kuchaguliwa ndani ya Katiba mpya
changanya na suala la Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lazima litaibuka na kwa sasa bora lipo kwao, tuone watauenzi kweliKitendo cha mwana ccm yeyote kuruhusu kupatikana kwa katiba mpya ya ukweli ndiye atakuwa ameifuta rasmi kwenye ramani ya vyama vya siasa.
Kwani wewe hilo jibu hukuona lilikua mubashara?? Mimi nilikua mubashara kabisa na hotuba ya rais.Akili za kilumumba hizi,hivi unajua maana ya mubashara?
Kumbe akili unazo Mkuu,sometimes unajitoaga ufahamu kimakusudi.Cha msingi ni kuweka pressure!
Vyama vya siasa viache kushiriki chaguzi za maigizo.
Civil societies lazima zikanyage mafuta.
Na wananchi tuamke. Tuache kushiriki chaguzi mpaka kitapoeleweka.
InsaneKwani wewe hilo jibu hukuona lilikua mubashara?? Mimi nilikua mubashara kabisa na hotuba ya rais.
Au wewe ulipokea recorded?
Tatizo upinzani hawako pamoja Kuna wasaliti wataingia na kiulaini ccm itashinda. Nadhani hii ya kujitoa si suluhu.Cha msingi ni kuweka pressure!
Vyama vya siasa viache kushiriki chaguzi za maigizo.
Civil societies lazima zikanyage mafuta.
Na wananchi tuamke. Tuache kushiriki chaguzi mpaka kitapoeleweka.
Wacha tumpatie muda mama yetuchanganya na suala la Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lazima litaibuka na kwa sasa bora lipo kwao, tuone watauenzi kweli
kila mtu anaogopa kufia mikononi suala hilo
Kuhusu katiba mama katupa nje.Akili za kilumumba hizi,hivi unajua maana ya mubashara?
Harakati zote kuanzia sasa ziwe kuhusu Katiba ya Wananchi. Watanzania tuhamasishane kudai Katiba yetu.CCM walitulaghai kuanzisha mchakato wa Katiba na wakauvuruga wenyewe kwa tamaa zao za madaraka haramu kwa gharama ya kodi zetu.Tanzania tuna safari ndefu sana kuweza kujikomboa kutoka mikononi kwa kaburu ccm
Pamoja sana mkuu maaana hii nchi ni yetu woteHarakati zote kuanzia sasa ziwe kuhusu Katiba ya Wananchi. Watanzania tuhamasishane kudai Katiba yetu.CCM walitulaghai kuanzisha mchakato wa Katiba na wakauvuruga wenyewe kwa tamaa zao za madaraka haramu kwa gharama ya kodi zetu.
Tusikubali kuambiwa tusubiri kwanza?Tunasubiri nini?
Miaka sitini ya uhuru ccm imeshindwa kukwanua watanzania ni maendeeo gani unayazungumzia mzee.Tunajua wanaopigia kelele Katiba mpya ni akina nani:makarai ya zege ya mafisadi.Wanadhani kupitia hiyo watapata nafasi ya kupenyeza agenda zao za kipuuzi.Sioni what we cannot do with the 1977 constitution as far as bringing development to our people is concerned and protecting our hard earned peace.Kinachotakiwa ni utashi wa kisiasa.Hongera Rais Samia kwa msimamo wako.
Mara nyingi watu wa Zanzibar hawafurahishwi sana na aina ya siasa za Zanzibar ....wangependa kuwe na mfumo unaoweza kuwa flexible kwa serikali za mseto bara na visiwani ...Zanzibarians are Liberals ...japo wapo wachache Radicals ...Bahati mbaya Samia sio mmoja wao ...na kikubwa ni waliacha awe Makamu ashike tu bila kujua loolote likitokea angekua Rais ...Anaweza kukubali huo mchakato ukaanza maana yeye hana sana sababu za kutufanyia ukatili wakati yeye akimaliza uongozi wake anarudi zake zenji kutafuna bata wake.
Hjielewi hadi hurumaInsane
Sasa hapo ndo unakuwa unamkomoa nani? Wananvhi muamke, humu jF kuna mtu yeyote anaeweza kusimama bunduki ikikohoa hata risasi tatu mbele yake?Cha msingi ni kuweka pressure!
Vyama vya siasa viache kushiriki chaguzi za maigizo.
Civil societies lazima zikanyage mafuta.
Na wananchi tuamke. Tuache kushiriki chaguzi mpaka kitapoeleweka.
Mawazo yako hayo,usitusemee Watanzania. Huo uchumi unaojikwamua ni upi?Kujikwamua maana yake kuna mkwamo,tumekwama hapo kwa miaka 60 sasa chini ya hao wanakusaidia kujikwamua na bado unadhani ni sawa?Katiba ndiyo Msingi wa yote,tutaweka utaratibu wa kujitawala na kuendesha nchi siyo mawazo ya watawala.Katiba mpya itatusaidia nini sisi watanzania kujikwamua kiuchumi?
Hapo ulipo hakuna hata mtoto mdogo anaekuzidi akili akusaidie swali lako?Katiba mpya itatusaidia nini sisi watanzania kujikwamua kiuchumi?