nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Tufafanulie nini maana ya Samia must goAcha ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tufafanulie nini maana ya Samia must goAcha ujinga
Hata mbowe alikamatwa mkapiga sana kelele mwishowe Rais akamsameheHata siku moja swala au mipango ya uhaini haizungumzwi kwenye mkutano wa hadhara kama kungekuwa na wahaini wangesha kamatwa hayo ni mambo ya kisiasa
Must go maana yake ni Samia apewe maua yakeTufafanulie nini maana ya Samia must go
Jino Kwa jino wakati wenzako familia zao ziko mbele yaani wewe unapigana ili mbowe awe Rais unahisi utanufaika na urais wake kama huko kwenye circle yake?Tundu Lissu alisema hakuna Nia ya kweli ya maridhiano, hapa inatakiwa jino Kwa jino...ndio tutapata jawabu la sivyo waTanganyika watachinjwa Sana na mazombi ya Zanzibar
Hakuna Cha msamaha wala Nini, Walishindwa kesi, na machawa mnaboa sana maana mnafikiri haki ni mpaka huyo Bibi aamueHata mbowe alikamatwa mkapiga sana kelele mwishowe Rais akamsamehe
Waumini wa kiboko ya wachawi hawaKwani atakuwa mgombea? Kuna nabii alisema kuwa huyu amekataliwa. Ngoja tusubirie utimilifu wa unabii, tujue kama ulikuwa unabii kweli au hisia?
Unahakika?Hakuna Cha msamaha wala Nini, Walishindwa kesi, na machawa mnaboa sana maana mnafikiri haki ni mpaka huyo Bibi aamue
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Akifunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania, Viwanja vya Jeshi la Polisi CCP Mkoani Kilimanjaro, leo tarehe 17 Septemba, 2024.
View attachment 3098792Rais #SamiaSuluhuHassan akizungumza katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Moshi (TPS), amesema Serikali ina taarifa ya kikao cha chama cha Siasa anachodai kinalenga kufanya Siasa chonganishi na kuwa Serikali haitakubali hilo kwa kulinda Katiba na kuimarisha ulinzi wa maisha ya Watanzania.
View attachment 3098793
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki kwenye kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Moshi Mkoani Kilimanjaro, leo tarehe 17 Septemba 2024.
View attachment 3098802
View attachment 3098805
View attachment 3098806
View attachment 3098807
Gwaride la heshima lililoandaliwa na Jeshi la Polisi Tanzania likipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS), Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.
View attachment 3098810
View attachment 3098811
View attachment 3098812
View attachment 3098834
Amesema “Kumepangwa kushusha moto hadi Samia aseme basi naondoka, hiyo Serikali au Serikali ya Samaki? Maana Samaki kadiri anavyokuwa mkubwa na akili inafanyaje? Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo.”
Ni nani aliyesema anatakakuivunja amani ya nchi?tupo na raisi bega kwa bega kuilinda amani ya nchi
Sawa kabisa.Must go maana yake ni Samia apewe maua yake
Yule ni secretary mkuu. Uelewa mdogo.Whatsapp feki ndiyo taarifa ya kiintelejensia? Mbona anatuletea FUTUHI?? Ingekuwa kweli wameona mipango si wangepelekwa mahakamani?
Nawachukia sana masecretaryYule ni secretary mkuu. Uelewa mdogo.
Chama gani kilkaa kikao cha kuihujumu serikali?Sasa na wao wanaiga maonyesho ya makomandoo wakati Amza aliwatoa jasho mpaka walinyea suruali zao
Hao tuwachiwe sisi tunajuwa cha kufanya.Whatsapp feki ndiyo taarifa ya kiintelejensia? Mbona anatuletea FUTUHI?? Ingekuwa kweli wameona mipango si wangepelekwa mahakamani?
Huzijui sifa za chura?Chura kaanza kusikia sasa maana alikuwa hasikii
Wameweweseka vibaya mnoo. Hotuba ya Amiri Jeshi Mkuu wa nchi yetu Tanzania imewatoa kwenye Reli. Kila mmoja anapayuka kivyake. Hongera zake Rais, Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania.Amiri Jeshi Mkuu ameapa kuilinda na kuitetea URT, 1977.
Anazo clip zote za uhaini zilizo nyuma ya pazia.
Amiri Jeshi Mkuu ameongea huku mm nikiwa natetemeka .
Amiri Jeshi mkuu hajawahi kuongea vile tangu nimjue
Ameonea mnafanya mzaha na utani against her 4R
Sasa jichanganyeni tarehe 23 mnayotaka kuingia Barabarani
Hongera sana Amiri Jeshi Mkuu, sisi Vijana wako tunaokuunga mkono tuko tayr kwa maelekezo yako.
Wao wake zao wako Canada halaf wanataka kutuletea za kuleta, mipango michafu kabisa ilikuwa inasukwa, leo walijfanya wana kikao cha kamati kuu kumbe wap, uhaini mtupu
Kauli gani kali ilotolewa? Hii ni nchi bwana, kirahisi rahisi aje muwakilishi wa nchi ya Kigeni kisha atoe amri kwa Serikali, fanya hiv, fanya vilee... kirahis rahisi tu!! Kweli tunategemeana, lkn lazina kuwe na mipaka mkuu!Jukumu la kuilinda tz sio la rais na jeshi Pekee... bali ni la watanzania wote.Tunaipenda sana nchi yetu viongozi kaeni mmalize tofauti zenu sisi wananchi tukichoka na siasa zenu nchi utakua imechafuka.Pia ushirikiano na nchi nyingine ni mhim sana tusitoe kauli kali wakati tunategemeana.