Rais Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo

Hata siku moja swala au mipango ya uhaini haizungumzwi kwenye mkutano wa hadhara kama kungekuwa na wahaini wangesha kamatwa hayo ni mambo ya kisiasa
Hata mbowe alikamatwa mkapiga sana kelele mwishowe Rais akamsamehe
 
Tundu Lissu alisema hakuna Nia ya kweli ya maridhiano, hapa inatakiwa jino Kwa jino...ndio tutapata jawabu la sivyo waTanganyika watachinjwa Sana na mazombi ya Zanzibar
Jino Kwa jino wakati wenzako familia zao ziko mbele yaani wewe unapigana ili mbowe awe Rais unahisi utanufaika na urais wake kama huko kwenye circle yake?
 
Kwani atakuwa mgombea? Kuna nabii alisema kuwa huyu amekataliwa. Ngoja tusubirie utimilifu wa unabii, tujue kama ulikuwa unabii kweli au hisia?
Waumini wa kiboko ya wachawi hawa
 
Hata taarifa za kifo cha JPM , alikuwa nazo kabla,akaibukia Mkoa wa Tanga,usiku akawahi magogoni kutangaza kifo bila wimbo wa Taifa
 
Whatsapp feki ndiyo taarifa ya kiintelejensia? Mbona anatuletea FUTUHI?? Ingekuwa kweli wameona mipango si wangepelekwa mahakamani?
 
Sasa na wao wanaiga maonyesho ya makomandoo wakati Amza aliwatoa jasho mpaka walinyea suruali zao
Chama gani kilkaa kikao cha kuihujumu serikali?

Tukiki juwa hicho Rais atuwachie raia tuwafinye hao.
 
Jukumu la kuilinda tz sio la rais na jeshi Pekee... bali ni la watanzania wote.Tunaipenda sana nchi yetu viongozi kaeni mmalize tofauti zenu sisi wananchi tukichoka na siasa zenu nchi utakua imechafuka.Pia ushirikiano na nchi nyingine ni mhim sana tusitoe kauli kali wakati tunategemeana.
 
Wameweweseka vibaya mnoo. Hotuba ya Amiri Jeshi Mkuu wa nchi yetu Tanzania imewatoa kwenye Reli. Kila mmoja anapayuka kivyake. Hongera zake Rais, Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania.
 
Kauli gani kali ilotolewa? Hii ni nchi bwana, kirahisi rahisi aje muwakilishi wa nchi ya Kigeni kisha atoe amri kwa Serikali, fanya hiv, fanya vilee... kirahis rahisi tu!! Kweli tunategemeana, lkn lazina kuwe na mipaka mkuu!
 
Kwenye hayo maadhimisho hitimisho alilofanya Samia ni kubariki utekwaji na mauaji ya raia yanayosadikiwa kufanywa na polisi kwahiyo tutarajie kutekwa na kuuwawa kwa watu wengi zaidi na hii ndio hekima ya viongozi wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…