Rais Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo

Rais Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo

Wame-beep sasa wanakwenda kupigiwa wawe tayari kupokea simu.
Ni kama nakumbuka Mbowe aliwahi kuwa "Gaidi", ambaye wenzake tayari walikuwa walisha hukumiwa vifungo.
Hicho cha kwake kiliahirishwa hadi wakati huu?

Kuna mambo husikitisha sana, hasa yanapo wahusu viongozi wakuu wa nchi kama huyu!

Mkuu 'Steven Joel Ntamusana', usikose kufikisha pongezi nyingi kwa mkuu wetu kutuondolea balaa hili lililokuwa linataka kutunyemelea kwa hotuba yake hii iliyo watia jamba jamba hawa wasio penda amani itamalaki nchini mwetu.
Sina shaka kabisa kawakomesha kwa hotuba yake hii ya busara nyingi.
 
Kuna polisi, dpp. ,na mahakama, wafanye kazi zao. Me.n⁷gine yote ni porojo.
 
Wewe toka nje siku hiyo ndio utajua iwapo anajua kushika bunduki au hajui.
Heeeeee!
Kumbe hali ya hatari ilisha tangazwa; ni lini hiyo?
Ni kwamba siku hiyo nzima wananchi wa Tanzania hawatakiwi kutoka nje ya nyumba zao?

Huyu mama kweli ni kiboko yao!

Sasa naona nchi ndio itatulia vizuri kabisa. Hongera zenu mkuu!
 
Samia awe anaandikiwa Hotuba. Uwezo wake wa kuchambua nini aongee na nini asiongee hana.

Nadhani anakuwa na mihemko sana anashindwa kuji control au anashindwa kuelewa nini aseme in private na nini in public. Mumsaidie please. Leo ametoa Hotuba mbovu kabisa ya mtu mwoga asiyejiamini.

Rais anapaswa kuwa jasiri na tulitegemea aliponye Taifa. Si ndio wadau? Naona analiparua zaidi. Analikwangua , analigawanya.

Kawaida ya Wanawake wa Pwani.

By the way, ametoa siri kuwa ndani ya Chadema kuna mapandikizi yao mle. Otherwise, hawawezi kuwa na uhakika wa kile kinachopangwa ndani ya mikutano yao.
 
Mahakama ilisema mbowe ana Kesi ya kujibu na kuhusu ugaidi, Mama akamwonea huruma. Leo huyo huyo aliyemsamehe na kesi kufutwa amesema anaushaidi haohao aliowasamehe kinyume na mahakama wameanza tena vitendo vya ugaidi. Wewe unabisha!
Unafikir ugaidi unataja taja moja ya kesi yakipumbavu hata Wahisabi walitucheka ni ile ya mbowe wakifanya check and balance wanaona no relation at all as a country tuliowapa dhamana are there to defend themselves and kusema opposition wanajwamisha maendeleo bungeni mmejaza wooote ccm lakin bado ndo kwanza gemu ngumu inawaelemea. Mmebaki na projevt za kutafta kura
 
Kawaida ya Wanawake wa Pwani.

By the way, ametoa siri kuwa ndani ya Chadema kuna mapandikizi yao mle. Otherwise, hawawezi kuwa na uhakika wa kile kinachopangwa ndani ya mikutano yao.
Mwongo tu huyo, hakuna chochote anachokijua

Hao hao wahuni wanaofanya uhalifu (kwa maelezo yake) ndani ya serikali yake, wamemwandalia hotuba ya hovyo ya kujilamba risasi mwenyewe miguuni mwake
 
Bi
Samiamustgo ni wrong move, kama ni maandamano ya amani yalipaswa kuja na slogan isiyo na chembe chembe za uhaini. gharama ya kumuondoa amiri jeshi mkuu madarakani kwa maandamano ni kubwa mno na ukiamua kupita hiyo njia hakikisha unauona mwisho na una sapoti ya kutosha kuufikia huo mwisho otherwise ni umeamua kuwapa wafuasi tiketi k
K
Samiamustgo ni wrong move, kama ni maandamano ya amani yalipaswa kuja na slogan isiyo na chembe chembe za uhaini. gharama ya kumuondoa amiri jeshi mkuu madarakani kwa maandamano ni kubwa mno na ukiamua kupita hiyo njia hakikisha unauona mwisho na una sapoti ya kutosha kuufikia huo mwisho otherwise ni umeamua kuwapa wafuasi tiketi ya mauti.
Kakwel hiyo slogan kama bora iwe ni danganya toto...lkn kama wamedhamiria kweli kweli yaan italeta taswira mbaya kwa Taifa japokuw hawatafankiwa.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Ulitaka mpange mipango miovu halafu rais akae kimya? Over her dead body!
Hivi kweli mtu anaweza kupanga mipango miovu halafu akaachwa asikamatwe? Hapana kama kweli Kuna ushahidi washughulikiwe tunataka amani.
 
Samia awe anaandikiwa Hotuba. Uwezo wake wa kuchambua nini aongee na nini asiongee hana.

Nadhani anakuwa na mihemko sana anashindwa kuji control au anashindwa kuelewa nini aseme in private na nini in public. Mumsaidie please. Leo ametoa Hotuba mbovu kabisa ya mtu mwoga asiyejiamini.

Rais anapaswa kuwa jasiri na tulitegemea aliponye Taifa. Si ndio wadau? Naona analiparua zaidi. Analikwangua , analigawanya.
Hakuna wakati wowote MUNGU alimpa mwanamke kundi aliongoze,ss Tanzania hatujielewi ngoja tuendelee kufubaa na kuchakaa AKILI itatusogea tu.
 
Wew
Wanamdanganya nini?
Kwanini msiwataje tu?

=====
Ukweli ni kwamba hizi vurugu mechi za Kisiasa huwa zinatokea wakati wa Chaguzi, kwanini?

Kwamba CHADEMA ikitengeneza haya mazingira, basi hili na lile likitokea basi serikali ilaumiwe tu... ianguke, halafu wao ndio washike Dola? Hapana.

Uzeni sera na sio kufanya siasa za uharakati, na kama mkishindwa, mjisajili tu kama NGO tu.
Aisee

CHADEMA katika ubora wao. Ni kuchafua hali ya kisiasa nchini.🤡

Hawachaguliki, sio 2024 na wala sio 2025.
Wewe ndo leo umedanganyika na umekubali. Siasa sayansi. Waliokaa kikao kuchafua nchi wanaachwaje wasikamatwe watajwe jukwaani?
 
Haya mambo bhana sis raia wakawaida tunaona kama jambo simpoo kwel,lkn kwa waandamiz wa vyombo vya usalama nadhan hawalion hivo,maana wananchi bhana sio viumbe wa kubeza hata kidogo maana wanamifano mingi dunian.Na kama wanasiasa(watawala) wanachukulia simpo kwakujivunia vyombo vya usalama ni vema watulze akili vzuri wapunguze/waondoe vtendo vyenye ukakas vinavyo ibua hisia kinzan dhidi ya serikali au baina wananch wao kwa wao.
 
Tanzania haina serikali ya SAMAKI.....

Kule M 23 huku S 23....

Ukicheka na nyani.....

#Nchi Kwanza KABLA ya yeyote na chochote😍
 
Back
Top Bottom