Mchuzi wa nyoka
Member
- Oct 31, 2016
- 99
- 267
hajui watu wanataka nini, ye anawasikiliza matajiri tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Mungu wako wa ulimwengu gani tusioujua?!!Hakuna wakati wowote MUNGU alimpa mwanamke kundi aliongoze,ss Tanzania hatujielewi ngoja tuendelee kufubaa na kuchakaa AKILI itatusogea tu.
Mjinga wewe...Kawaida ya Wanawake wa Pwani.
By the way, ametoa siri kuwa ndani ya Chadema kuna mapandikizi yao mle. Otherwise, hawawezi kuwa na uhakika wa kile kinachopangwa ndani ya mikutano yao.
Yaani mkeo mkaanga vitumbua ajue mahitaji ya hapo kibandani kwenu ijekuwa Rais wa nchi asijue mahitaji ya watu ?!!😲😲hajui watu wanataka nini, ye anawasikiliza matajiri tu.
Imekaa sana vibaya mkuuBi
K
Kakwel hiyo slogan kama bora iwe ni danganya toto...lkn kama wamedhamiria kweli kweli yaan italeta taswira mbaya kwa Taifa japokuw hawatafankiwa.
Nimeamu kuanzia leo kujisalimishaTulia kijana tafuta hela ya kula na familia porojo za siasa waachie wenyewe.
Ukiukwaji wa haki za binadamu sio swali la nchi ni suala la kimataifa. Kumbuka tamka la haki za binadamu lilitolewa mwaka 1948 na umaja wa matafa. Na Tanzania ili sain mkataba wa haki za binadamu. Pia haki za binadamu sio Hisani ya serikali au ya Samia ni haki ambazo kila mtu anazaliwa nazo. Pia ukiukwaji wa haki sehemu moja ni ukiukwaji wa haki duniani kote. Samia amejidhalilisha kwa hotuba yake.Achana na manabii matapeli, fomu ni moja tu Kwa ajili ya dk Samia wengine wasubiri 2030
Humo ndani mwao ni mtifuano mama amehalalisha hiyo mipango hakuna aliyeko salama!!View attachment 3099206
Kwa kifupi hotuba ya Rais imewaponya na kuwapa ujasiri watekaji waliokuwa wameanza kupata hofu na mioyo yao kubondeka baada ya jamii kuungana pamoja kuwakabili.
From President speech, No one is SAFE even herself. Sheria ya Usalama wa Taifa IFUTWE na Rais apunguziwe madaraka.
Kwendraaa!Nawashauri CHADEMA waachane na 'samia must go' hiyo septemba 23 maana watatembezewa kichapo 'heavy' mno
Very sad!hili tulilijua toka kipindi cha magufuli kua chadema wanaumizana wenyewe kwa ajili ya kua taaruki
Kawaida ya Wanawake wa Pwani.
By the way, ametoa siri kuwa ndani ya Chadema kuna mapandikizi yao mle. Otherwise, hawawezi kuwa na uhakika wa kile kinachopangwa ndani ya mikutano yao.
Hiyo ni opinion yako tu.
If anything leo walau kwenye mambo ya msingi kaongea kama kiongozi.
Uongozi ni msimamo, maana yeye ndio mwenye maamuzi ya mwisho na kaweka ultimatums huruma una mipaka. Na serikali yake sio ya kupangiwa.
Nadhani yale ya kitaalamu kayaelezea kwa ufasaha sana mpaka maafande kufurahi.
Shida ni tonne yake, uwezi kuongea serious issue na sauti ya kulegeza. Na mifano yake sijui uwa anatoa wapi.
Someone needs to tell her samaki wanavyokuwa na kuishi ndio akili inavyoongezeka.
View: https://m.youtube.com/watch?v=Mj1t0lp4llI&pp=ygUbb3JjYSBhdHRhY2tpbmcgc2VhbCBvbiBpY2Ug
Kwenye pods za Ocra ni matriarchal bibi ndio anaongoza attack, kwa kufundisha njia ya kutengeneza mawimbi ili kuvunja iceberg ambayo seal kakimbllia ukienda North pole.
South pole wanambinu nyingine ya kukamata seal na wakubwa ndio wanambinu ya kwenda shallow waters.
Wakishiba wakiona seal au penguin wana mzunguka na kuwaachia watoto wajifunze head kicking ya kuvunja mifupa na kumrusha kitoweo kwa mkia kumchanganya akili.
Ukienda kwa akina nyangumi vile vile wazoefu ndio wanaotengeneza bubbles kuwakusanya samaki eneo moja, na kuanza kuwameza wakitokea chini. Dolphins nao wana mbinu hizo hizo.
Blue fin tuna wakubwa wanajua kuchomoa hook.
Kwa kifupi samaki wanavyokuwa ndio akili inaongezeka. Tupende kujifunza mambo kabla ya kujiropokea kutoka vichwani. Kuna wildlife documentary luluki YouTube za bure kuelewa wanyama.