Pfizer
JF-Expert Member
- Mar 25, 2021
- 819
- 1,093
Ninawatakia kila la kheri wanachama wote wa chama chetu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaoendelea kujitokeza katika maeneo mbalimbali nchini, kuchukua fomu za maombi ya kugombea nafasi za uongozi katika vyombo vya dola. Hatua hii ndiyo msingi wa maandalizi ya kwenda kwa wananchi, kuwaomba ridhaa ya kufanya kazi ya kuwatumikia na kushirikiana nao ili kuyafikia malengo tuliyojiwekea katika Ilani yetu.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.