Rais Samia: Nitaendelea kuzunguka kuwaambia wawekezaji waje Tanzania

Rais Samia: Nitaendelea kuzunguka kuwaambia wawekezaji waje Tanzania

Mama zunguka uilete dunia Tanzania. Lazima tuende na utandawazi hatuwezi kujifungia. Tunahitaji wawekezaji. Zaidi ukitoka watasema, ukijifungia watasema!
 
"Ninalazimika Kusafiri nje ya nchi na Nitasafiri mno tu ili Kuwavutia zaidi Wawekezaji na kamwe sitokaa tu Ikulu ya Chamwino na Magogoni Kisha Watu wengine wanawadanganya Wawekezaji kuhusu Tanzania na tunawakosa kisha nchi yetu inazidi Kuanguka Kiuchumi" Rais Samia jana Kigamboni.

Chanzo: Radio One Nipashe Leo

Mlioko Rwanda, Ethiopia, Misri, Afrika Kusini, Kenya, Morocco na Botswana je, na Wao huko kwa idadi Kubwa ya Wawekezaji ( mpaka Watalii ) walioko na wanaoendelea Kufurika huko ni kutokana na Marais wao 'Kutalii' Ulaya, Marekani, Asia na Mashariki ya Kati Kuwatafuta?

Na je, kama Kazi ya Rais wa Tanzania ni Kusafiri sana Nje ya nchi ili kuwavutia Wawekezaji waje Tanzania nini Kazi ( Jukumu Mama ) la Mabalozi wetu walioko huko na Waziri wa Mambo ya Nje?

Mwisho kabisa GENTAMYCINE nauliza hivi Wawekezaji wanakuja nchini kutokana na Mazingira Rafiki ya Uwekezaji na Biashara ambayo huwa yanajitangaza tu yenyewe kutokana na Historia ya nchi husika Kisiasa na Kidemokrasia au yanamtaka Rais aanze 'Kuzunguka' kuwafuata?

Hata hivyo sishangai sana kama Mshauri Mkuu alikuwa Kinara wa Kukesha Angani huku akilala na kuamkia huko 'Majuu' kwanini na anayemshauri nae 'asiambukizwe' Utamaduni huo ambao kwa Wataalam wa Uchumi wanasema unaitia Hasara nchi / Serikali kwa Kugharamia 'Delegation' yake nzima.

Sijui na Mimi kwa Kusema na Kuhoji hili nitajumuishwa katika kile alichokiita Kikosi Maalum na cha Kimkakati cha Kumkwamisha na Kumuharibia alichokitaja huku akiwa amekasirika sana Juzi kule Mbagala.

Ewe Mwenyezi Mungu usiniache Baba!!
 
Mungu umetupa mtihani kwa njia ambayo hatukuitegemea, tulizoea kuwa janga huja kwa njia ya sanduku la kura ila hili linekuja kivingine.... mirathi Baba!

Pamoja na janga hili Ee Mungu, mbaya wetu sio huyu anayejisifia kuwa mtalii kwa Kodi zetu, la hasha...mchawi wetu yupo anachekacheka kashika remoti akiwa Msoga!
 
Kusafiri sana sio kigezo cha kuwavutia hao watalii na wawekezaji.

Ni sawa na kusoma sana huwa sio kigezo cha mtu kufaulu sana.

Unasafiri sana then ukifika huko unaulizwa vipi yule gaidi Mbowe mtamuachia lini?

Kisha na wewe unasema "ushahidi tunao".

Mpaka hapo workdone inakuwa sifuri.
 
"Ninalazimika Kusafiri nje ya nchi na Nitasafiri mno tu ili Kuwavutia zaidi Wawekezaji na kamwe sitokaa tu Ikulu ya Chamwino na Magogoni Kisha Watu wengine wanawadanganya Wawekezaji kuhusu Tanzania na tunawakosa kisha nchi yetu inazidi Kuanguka Kiuchumi" Rais Samia jana Kigamboni.
Royal tour kwani haikutimiza lengo? Just curious. Urais ni taasisi, wanaojumuisha uwepo wa taasisi hiyo msimuachie Mama mzigo. Waziri wa biashara jiongeze mtue Mama mzigo, usimchoshe. Lazima uelewe fasihi za kiswahili chetu. Binafsi nawaza nadhani Mama anakushtua uzinduke na kuwajibika. Tanzania inawahitaji wawekezaji lakini watakaokubali "win win model".
 
Tulipigwa.Chanzo cha matatizo yote haya ni mzee wa Msoga kumteua hawara wake kuwa makamu wa Rais wa Bwana Chato.Mzee wa Msoga is the cursed creature!
AEeFK.jpg
 
Back
Top Bottom