Rais Samia, Ondoa RC Tabora na DC Nzega, Hawajitambui

Hivi mfano ukifika hapo chuo ukaona takataka.. nimpigie simu Jakaya Kikwete?! Mkuu wa Mkoa anahusika na issue zozote ndani ya mkoa wake ... Na ikibidi atakapoona kuna tishio la kiusalama ana mamlaka ya kuchukua hatua akiwa kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa .. sijaelewa saga Lao ..
 
Tathmini ya Hali ya Sekta ya Madini Nchini Tanzania

Watumishi wa Tume ya Madini nchini Tanzania, hususan katika makao makuu Dodoma na maeneo mengine kama Geita, Chunya, Mara, Mererani, na Songwe, wamekuwa wakikabiliwa na malalamiko makubwa yanayoashiria kuwa wanatumika kama miungu watu.

Hali hii inatokana na kukoseka kwa mabadiliko ya mara kwa mara ya vituo vya kazi, ambapo watumishi wengi awajahamishwa vituo vya kazi. Wengine wanatakiwa kufukuzwa kazi, na kupisha uchunguzi.

Miongoni mwa matatizo makubwa yanayoikabili sekta ya madini ni utoroshaji wa dhahabu. Leseni zote za madini nchini zimekuwa zikichukuliwa na kugawanywa na watumishi wa Tume ya Madini, ambapo baadhi yao wanashiriki kwenye utoroshaji huo.

Utafiti wa kina umeonyesha kuwa kuna mtandao wa watu wanaohusika katika shughuli hizi, na baadhi yao wanatumia nafasi zao katika Tume kuendeleza shughuli haramu za utoroshaji.

Hali hii inatia shaka kuhusu uadilifu wa baadhi ya watumishi wa Tume ya Madini na ushirikiano wa vyombo vya usalama kama TISS (Tanzania Intelligence and Security Service) katika maeneo haya.

Wakati ambapo TISS inapaswa kuwa chombo cha kulinda rasilimali za taifa, kuna dalili za kushiriki kwao katika utoroshaji wa madini. Hii ni hatari kwa uchumi wa nchi na inaathiri maendeleo ya jamii zinazotegemea rasilimali hizo.

Aidha, mabadiliko ya mara kwa mara ya vituo vya kazi yanachangia kukosekana kwa ufanisi katika usimamizi wa shughuli za madini. Watumishi wanapohamishwa mara kwa mara, inakuwa vigumu kwao kujenga uhusiano mzuri na jamii na wadau wengine, jambo linalohitaji ushirikiano wa karibu. Matokeo yake ni kwamba shughuli za madini zinaweza kukosa uangalizi mzuri, hivyo kuongeza hatari ya uvunjifu wa sheria.

Kwa kuzingatia hali hii, ni muhimu kwa serikali na viongozi wa Tume ya Madini kuchukua hatua stahiki ili kurekebisha mfumo wa usimamizi wa madini nchini. Kwanza, inapaswa kuwepo na uwazi katika utoaji wa leseni na usimamizi wa rasilimali. Pili, ni lazima kuwe na utaratibu mzuri wa kushughulikia malalamiko ya watumishi, ili kuhakikisha haki zao zinalindwa na wanapata mazingira bora ya kazi.

Hatimaye, jamii inapaswa kuhamasishwa kutoa taarifa kuhusu vitendo vya utoroshaji wa madini. Ushirikiano kati ya serikali, TISS, na jamii ni muhimu ili kuhakikisha kuwa rasilimali za madini zinatumika kwa manufaa ya kizazi cha sasa na vijavyo. Katika dunia ya leo, ni lazima sekta ya madini iwe na uwazi, uadilifu, na usimamizi mzuri ili kuchangia katika maendeleo ya nchi.
 
Kwaiyo mkuu wa chuo aje amelewa kazini harafu aachwe tu?
 
Lile jamaa sijui likuu la chuo lina kiburi sana halafu ni lishamba. Unajibu vipi kiholrla tu mamlaka. Kama umekuja huku kulitetea liambie liache upuuzi
 
Kwa hiyo ikitokea hata chuo kinaungua moto wawasiliane na UDSM waje kuzima et?
 
Duh
 
Wewe ndio limbukeni na mbumbumbu wa utawala. Yani mkuu wa wilaya aache kuhoji taasisi yeyote ya serikali iliyopo katika wilaya yake hivi una akili timamu kweli wewe? Unajua majukumu ya mkuu wa wilaya kikatiba.?
 
Naunga mkono hoja kwa asilimia mia
 
Acha kuleta ubishi mkuu. DC na RC ni wakuu wa maeneo husika sheria inawaruhusu.
 
Ni KWELI kwa 100%
 
Hizo akili zako zinatuchelewesha sanaaa.
 
Huna point kwa hili.
 
Nawashauri waende na hapo Nzega DC wakamsweke ndani DED!

Hiyo Halmashauri inadaiwa na wastaafu wa toka 2019,mwajiri hapeleki michango PSSSF wanapata mafao pungufu.
 
JF haiwezi kuwa kichaka cha kutetea wahuni. RC Chacha yupo sahihi, hakuna Mkuu wa Chuo hapo.
 
Hili suala unalijua vizuri au unalidandia tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…