Amechelewa Sana kufahamu na kama alikuwa anafahamu basi amechelewa kusema na huenda wasimwelewe maana vichwa vyao vimejaa uonevu.Rais Samia Suluhu Hassan amesema Polisi wanapokamata watu hawatakiwi kufanya vitisho, lakini hali inayoonekana Mitaani ni ya vitisho na kutia hofu
Amechelewa Sana kufahamu na kama alikuwa anafahamu basi amechelewa kusema na huenda wasimwelewe maana vichwa vyao vimejaa uonevu.
Mtanzania yeyote akisikia neno "Polisi" sote tunajua kinachomjia kichwani mwake.
Mtanzania yeyote akisikia neno "Mwanajeshi" pia tunajua kinachotujia vichwani mwetu.
Kwa Tanzania mwanajeshi anaonekana ni mtu mkarimu zaidi kuliko polisi, mwanajeshi ni ngumu sana kukufanyia unyama lakini polisi ni kitendo cha dakika 0 kukugeuzia kibao.
Nilitaka kushangazwa na mimi kwamba ndiyo amejuwa leo?Anajua siku nyingi Ila Leo ndo kaamua kusema
Mwambieni Mama aache siasa kwenye kazi za watu! Labda abadilishe mtaala wa kozi ya upolisi!Rais Samia Suluhu Hassan amesema Polisi wanapokamata watu hawatakiwi kufanya vitisho, lakini hali inayoonekana Mitaani ni ya vitisho na kutia hofu...
Nilitaka kushangazwa na mimi kwamba ndiyo amejuwa leo?
Kama anajuwa siku nyingi kama unavyosema, unadhani ni kwanini kaamuwa kusema leo?
Anajikosha tu mbele ya hadhara hana lo lote. Pembeni anamnong'oneza Sirro shikilia hapo hapo!Nilitaka kushangazwa na mimi kwamba ndiyo amejuwa leo?
Kama anajuwa siku nyingi kama unavyosema, unadhani ni kwanini kaamuwa kusema leo?
Hakika wewe ndio umemaliza kila kitu yani.Mtanzania yeyote akisikia neno "Polisi" sote tunajua kinachomjia kichwani mwake...
Utaleta vibaka majambazi mtaani.Hii ni zaidi ya mara ya tatu, kuwanyooshea polisi vidole kwa mienendo isiyaa na hakuna mabadiliko yeyote.
Kwa nini Mh. Rais usilifumue jeshi lote na kuliunda upya?
Maneno mstupu hayavunji mfupa.Anajua siku nyingi Ila Leo ndo kaamua kusema
Kwahiyo mkuu tukirudi kwenye swali langu la msingi kwamba ni kwanini kaamuwa kusema leo jambo ambalo analifahamu kitambo sana kuhusiana na utendaji wa polisi wa kikatili? Una maana kusema kaambiwa aseme pengine na hilo group la watu?Ccm Na serikal "ukiacha Kwa Mkapa Na Magufuli" inaendeshwa Na group la watu Na sio Rais!
Mfano; Ninaamini ingekuwa ni Utashi WA Samia 100% asingemfunga Mbowe!
Inashangaza sana na yeye amekua kinara wa kulalamika bila kuchukua hatua.Hii ni zaidi ya mara ya tatu, kuwanyooshea polisi vidole kwa mienendo isiyaa na hakuna mabadiliko yeyote.
Kwa nini Mh. Rais usilifumue jeshi lote na kuliunda upya?