Katika ufungaji wa mafunzo ya polisi kwa mwaka 2021 kurasini jijini Daresalaam,aliyekua mgeni rasmi ni mh. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Katika hotuba yake amewataka polisi wabadilike kwakuachana na mambo yasiyoendana na maadili ya jeshi letu.
Ametoa mifano halisi kwamba jeshi la polisi baadhi wanabambika kesi,wanakula rushwa,wanaonea na kutisha raia, wanapotezea watu muda barabarani nk
Aidha ameonesha kwamba kama polisi wanakujua hutobanwa zaidi
Polisi badilikeniiii
Kutegemea kuwa watabadilika kwa kupenda kwao, ni kheri kuwaamini fisi kulinda bucha.