Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,230
- 6,653
Wako wengine wazuri sana Mkuu. Achana na kundi lile la kina Kingai, J4, Goodluck, Mahita Jr, na wengineo wenye tabia kama zao.Hakuna kitu sipendi kama kuwa na rafiki Polisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wako wengine wazuri sana Mkuu. Achana na kundi lile la kina Kingai, J4, Goodluck, Mahita Jr, na wengineo wenye tabia kama zao.Hakuna kitu sipendi kama kuwa na rafiki Polisi.
Kwahiyo mkuu tukirudi kwenye swali langu la msingi kwamba ni kwanini kaamuwa kusema leo jambo ambalo analifahamu kitambo sana kuhusiana na utendaji wa polisi wa kikatili? Una maana kusema kaambiwa aseme pengine na hilo group la watu?
Kuhusu kama ni utashi wake asingemfunga Mbowe, wewe unadhani ni kina nani hao ambao wana bifu na Mbowe zaidi ya wale ambao walitumika na mwendazake kumfanyia mabaya yote ambayo walimfanyia hata kumtumia Sabaya nk?
Kwa namna moja ama nyingine, nadhani ni kweli anashauriwa kufanya mambo ambayo ni “contradictory” kwa manufaa ya kisiasa.
Siasa za “contradiction” kama hizi zilishamiri sana awamu ya nne! Nakumbuka hata wakati wa kashfa za kifisadi, mfano ile ya EPA, kamati iliundwa ikawashirikisha na wale ambao walikuwa wakituhumiwa. Nakumbuka Iddi Simba nk.Kila unachosema wewe ni sahihi, Na maswali unayouliza ni ya akili, nakubiliana Na wewe!
Tofauti yangu Mimi Na wewe ni Kuwa wewe unataka kuelewa mambo ya Ccm, hawaeleweki.
Rushwa si wao wenyewe wanawapa?? Wanapowapa vyeo wasio na sifa wana maana gani kama siyo sehemu ya rushwa?? Jaji kabla hajatoa maamuzi anampandisha cheo, kesho keshokutwa sheria zikianza kuwa panga badala ya msumeno Nani wa kulaumiwa???Naomba awaambie waache mateso, hilo tu! Maana kuacha rushwa haiwezekani!
Samia Suluhu Hassan amesema Polisi wanapokamata watu hawatakiwi kufanya vitisho, lakini hali inayoonekana Mitaani ni ya vitisho na kutia hofu
Akiwa katika Mahafali ya Kufunga Mafunzo ya Uofisa Kazi No. 1/2021 amesema, "Wakati mwingine mtu anakamatwa tu bila kosa la maana. Zipo tuhuma za Rushwa zinasemwa, na nyingine tunaziona kwenye 'viclip' vinavyorushwa"
Vilevile amesema pamoja na kwamba Askari ni msimamizi wa Sheria, wapo baadhi ambao wanakosa uaminifu na kuzivunja, akieleza "Wanachota mali za watu, wanachota mali za Serikali"
Ujumbe kwa Kingai na Mahita. Je? Mh. Rais ameona maelezo ya walio tekwa badala ya kukamatwa?Rais Samia Suluhu Hassan amesema Polisi wanapokamata watu hawatakiwi kufanya vitisho, lakini hali inayoonekana Mitaani ni ya vitisho na kutia hofu
Akiwa katika Mahafali ya Kufunga Mafunzo ya Uofisa Kazi No. 1/2021 amesema, "Wakati mwingine mtu anakamatwa tu bila kosa la maana. Zipo tuhuma za Rushwa zinasemwa, na nyingine tunaziona kwenye 'viclip' vinavyorushwa"
Vilevile amesema pamoja na kwamba Askari ni msimamizi wa Sheria, wapo baadhi ambao wanakosa uaminifu na kuzivunja, akieleza "Wanachota mali za watu, wanachota mali za Serikali"
awaambie waache mateso, hilo tu! Maana kuacha rushwa haiwezekani!
Amejuaje kama kuna ambao wanaokosa uaminifu na kuvunja sheria? Na kwamba wanachota mali za watu na mali za serikali? Kaambiwa na IGP?Rais Samia Suluhu Hassan amesema Polisi wanapokamata watu hawatakiwi kufanya vitisho, lakini hali inayoonekana Mitaani ni ya vitisho na kutia hofu
Akiwa katika Mahafali ya Kufunga Mafunzo ya Uofisa Kazi No. 1/2021 amesema, "Wakati mwingine mtu anakamatwa tu bila kosa la maana. Zipo tuhuma za Rushwa zinasemwa, na nyingine tunaziona kwenye 'viclip' vinavyorushwa"
Vilevile amesema pamoja na kwamba Askari ni msimamizi wa Sheria, wapo baadhi ambao wanakosa uaminifu na kuzivunja, akieleza "Wanachota mali za watu, wanachota mali za Serikali"
Kwamba hao vibaka na majambazi jeshi litakaloundwa litakuwa dhaifu kushindwa kuwadhibiti?
Asante sana mkuuAsante
Siasa za “contradiction” kama hizi zilishamiri sana awamu ya nne! Nakumbuka hata wakati wa kashfa za kifisadi, mfano ile ya EPA, kamati iliundwa ikawashirikisha na wale ambao walikuwa wakituhumiwa. Nakumbuka Iddi Simba nk.
Kamati ya maadili akipewa Andrew Chenge nk.