Katika ufungaji wa mafunzo ya polisi kwa mwaka 2021 kurasini jijini Daresalaam,aliyekua mgeni rasmi ni mh. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Katika hotuba yake amewataka polisi wabadilike kwakuachana na mambo yasiyoendana na maadili ya jeshi letu.
Ametoa mifano halisi kwamba jeshi la polisi baadhi wanabambika kesi,wanakula rushwa,wanaonea na kutisha raia, wanapotezea watu muda barabarani nk
Aidha ameonesha kwamba kama polisi wanakujua hutobanwa zaidi
Polisi badilikeniiii
Akwende hukoRais Samia Suluhu Hassan amesema Polisi wanapokamata watu hawatakiwi kufanya vitisho, lakini hali inayoonekana Mitaani ni ya vitisho na kutia hofu
Akiwa katika Mahafali ya Kufunga Mafunzo ya Uofisa Kazi No. 1/2021 amesema, "Wakati mwingine mtu anakamatwa tu bila kosa la maana. Zipo tuhuma za Rushwa zinasemwa, na nyingine tunaziona kwenye 'viclip' vinavyorushwa"
Vilevile amesema pamoja na kwamba Askari ni msimamizi wa Sheria, wapo baadhi ambao wanakosa uaminifu na kuzivunja, akieleza "Wanachota mali za watu, wanachota mali za Serikali"
Nina uwezo wa kuelewa bila hata ya kujuwa huyo ninayeongea naye ni nani.Achanana nao, Lea familia Na mwombe Mungu wako, ungejua Mimi ni Nani nayeongea Na wewe ungenielewa; sema huwezi kujua
Madudu ni mengi jeshi la PolisHii ni zaidi ya mara ya tatu, kuwanyooshea polisi vidole kwa mienendo isiyaa na hakuna mabadiliko yeyote.
Kwa nini Mh. Rais usilifumue jeshi lote na kuliunda upya?
Kuna kitu kimoja kinatakiwa kueleweka. mzazi akiwa na tabia mbaya, hata akiwakanya wanaye hawatatilia maanani anayosema, tena wanakuwa wanamdharau. Ni hivi: huwezi kutumia polisi kuiba kura halafu baada ya uchaguzi ujifanye unawaonya waache tabia mbaya. Hawatakusikia na tena watakudharau sana. Huwezi kutumia polisi kupindisha sheria ili wapinzani wasipate haki, halafu wakishafanya hivyo unajifanya kuwaasa wawe na tabia njema, watakudharau. Huwezi kutumia polisi kutengeneza kesi na ushahidi wa uongo ili umkomoe mpinzani usiyempenda, halafu kesho yake uwatake wawe na nidhamu. Watakudharau na kukucheka.Nilitaka kushangazwa na mimi kwamba ndiyo amejuwa leo?
Kama anajuwa siku nyingi kama unavyosema, unadhani ni kwanini kaamuwa kusema leo?
Mkuu unawasikiliza na kuwaamini wanasiasa wa kiafrika, hasa kitanzania? Hayo anayesema ili kutimiza wajibu wa kusema na siyo kwamba kwa sababu kweli anaona lipo tatizo ambalo anataka kulitatua. Trust me. Hili ndilo tatizo kubwa la siasa za Tanzania. Watu wanazungumza kitu wasichokiamini ili mradi tu wamesema lakini ndani ya mioyo yao wanaamini mengine kabisa. Hivi si tuliona wakati wa Magufuli alivyokuwa anasifiwa na sasa hivi wale wale waliokuwa wanamsifu wameshaanza kumgeuka vibaya sana?Kwahiyo mkuu tukirudi kwenye swali langu la msingi kwamba ni kwanini kaamuwa kusema leo jambo ambalo analifahamu kitambo sana kuhusiana na utendaji wa polisi wa kikatili? Una maana kusema kaambiwa aseme pengine na hilo group la watu?
Kuhusu kama ni utashi wake asingemfunga Mbowe, wewe unadhani ni kina nani hao ambao wana bifu na Mbowe zaidi ya wale ambao walitumika na mwendazake kumfanyia mabaya yote ambayo walimfanyia hata kumtumia Sabaya nk?
Kwa namna moja ama nyingine, nadhani ni kweli anashauriwa kufanya mambo ambayo ni “contradictory” kwa manufaa ya kisiasa.
Hii ni zaidi ya mara ya tatu, kuwanyooshea polisi vidole kwa mienendo isiyaa na hakuna mabadiliko yeyote.
Kwa nini Mh. Rais usilifumue jeshi lote na kuliunda upya?
Mwendazake aliwapa jeuri sana, eti elf 5 ya kufutia viatu. Aliruhusu rushwa.Rais Samia Suluhu Hassan amesema Polisi wanapokamata watu hawatakiwi kufanya vitisho, lakini hali inayoonekana Mitaani ni ya vitisho na kutia hofu
Akiwa katika Mahafali ya Kufunga Mafunzo ya Uofisa Kazi No. 1/2021 amesema, "Wakati mwingine mtu anakamatwa tu bila kosa la maana. Zipo tuhuma za Rushwa zinasemwa, na nyingine tunaziona kwenye 'viclip' vinavyorushwa"
Vilevile amesema pamoja na kwamba Askari ni msimamizi wa Sheria, wapo baadhi ambao wanakosa uaminifu na kuzivunja, akieleza "Wanachota mali za watu, wanachota mali za Serikali"
Hajachelewa ametoa mwongozo,huko nyuma kuna aliyetaka kuigeuza police state akisema hongo kwa traffic ni pesa ya kupiga kiwi viatu.Amechelewa Sana kufahamu na kama alikuwa anafahamu basi amechelewa kusema na huenda wasimwelewe maana vichwa vyao vimejaa uonevu.
we naye acha kuongea utumbo kipindi cha Magufuli dhamana ilikua 24hrs kitu ambacho hakikuwepo na hata ukifika ulikua unahudumiwa kwa adabu zote.Mwendazake aliwapa jeuri sana, eti elf 5 ya kufutia viatu. Aliruhusu rushwa.
we naye acha kuongea utumbo kipindi cha Magufuli dhamana ilikua 24hrs kitu ambacho hakikuwepo na hata ukifika ulikua unahudumiwa kwa adabu zote.
nenda sasa hivi uone hali iliv
Kwa KATIBA MPYA hilo usemalo Mh.RAIS linawezekana ila kwa KATIBA Iliyopo POLISI WATAENDELEA kitesa,kutisha Kuua KUBAMBIKIZIA Kesi kama ya MBOWE Polisi waTanzania ni Miungu WatuRais Samia Suluhu Hassan amesema Polisi wanapokamata watu hawatakiwi kufanya vitisho, lakini hali inayoonekana Mitaani ni ya vitisho na kutia hofu
Akiwa katika Mahafali ya Kufunga Mafunzo ya Uofisa Kazi No. 1/2021 amesema, "Wakati mwingine mtu anakamatwa tu bila kosa la maana. Zipo tuhuma za Rushwa zinasemwa, na nyingine tunaziona kwenye 'viclip' vinavyorushwa"
Vilevile amesema pamoja na kwamba Askari ni msimamizi wa Sheria, wapo baadhi ambao wanakosa uaminifu na kuzivunja, akieleza "Wanachota mali za watu, wanachota mali za Serikali"
Mbowe keshafungwa!?Ccm Na serikal "ukiacha Kwa Mkapa Na Magufuli" inaendeshwa Na group la watu Na sio Rais!
Mfano; Ninaamini ingekuwa ni Utashi WA Samia 100% asingemfunga Mbowe!
According to gM, mama haijui inchi, nakubaliana nae kabisa, kunasiku ataielewa, vzrRais Samia Suluhu Hassan amesema Polisi wanapokamata watu hawatakiwi kufanya vitisho, lakini hali inayoonekana Mitaani ni ya vitisho na kutia hofu
Akiwa katika Mahafali ya Kufunga Mafunzo ya Uofisa Kazi No. 1/2021 amesema, "Wakati mwingine mtu anakamatwa tu bila kosa la maana. Zipo tuhuma za Rushwa zinasemwa, na nyingine tunaziona kwenye 'viclip' vinavyorushwa"
Vilevile amesema pamoja na kwamba Askari ni msimamizi wa Sheria, wapo baadhi ambao wanakosa uaminifu na kuzivunja, akieleza "Wanachota mali za watu, wanachota mali za Serikali"
Kama unalijua Hilo kwa nini unawaacha mashahidi wa michongo kwenye kesi ya Mbowe na wengi ni polisi hao hao?Rais Samia Suluhu Hassan amesema Polisi wanapokamata watu hawatakiwi kufanya vitisho, lakini hali inayoonekana Mitaani ni ya vitisho na kutia hofu