Rais Samia: Polisi hawatakiwi kutisha watu wanapowakamata

Huyu bibie ni mwanafunzi mzuri sana wa awamu ya nne. Ajabu pia ni kwamba kaibukia kwenye awamu hiyo hiyo!

Bibie akisema jambo huwezi kujuwa kama kweli anaamini analolisema, au anasema tu kufurahisha wanaomsikiliza wakati anapoyasema maneno hayo, lakini kiutendaji ni tofauti kabisa.

Mfano mzuri ni hili la polisi, kalisemea mara kadhaa, lakini hafanyi kitu kuhakikisha kwamba anayoyaona hayafai ndani ya jeshi hilo yanakoma.

Kuna mifano mingi ya aina hii, na muda si muda watu wataanza kuelewa na pengine kumpuuza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…