Rais Samia: Rais haruhusiwi kukaa mkoa mmoja kwa zaidi ya siku tatu

Magufuli alikuwa anauguza Mama mzazi ifahamike hilo. Nawasilisha

Hii ya kwako ya leo ni mpya zaidi kuliko zote:

"Kumbukumbu zingali hai kwani si zamani tulipoaminishwa katika awamu ile kuwa rais anaweza kuweka kambi popote na kazi ikaendelea bila ukomo!"

Swali la msingi:

"Hizi sheria au taratibu ni mpya zilizoanza baada ya awamu ya sita kuingia ofisini au ndiyo ilivyo ila ilikuwa kupigana ma-changa ya macho?"
 
Kwa mamlaka ya Rais aweza kuamua vinginevyo sheria zipo na zitakuwepo, diversity ndio msingi. Kwamba alikuwa anauguza mama ndio hoja ya msingi na transitionally there could have been other factors governing the circumstances periodically.
 
Ni Protocol tu za kuendesha na suala ulinzi akiwa ziarani....zingatiaTanzania ni kubwa pia na mambo ya protocol....
Hakuna shida ...kama ziara siku 3 inatosha
 
Kwa mamlaka ya Rais aweza kuamua vinginevyo sheria zipo na zitakuwepo, diversity ndio msingi. Kwamba alikuwa anauguza mama ndio hoja ya msingi na transitionally there could have been other factors governing the circumstances periodically.

Hoja ya msingi hapa hatukuwahi kuambiwa haya ya kuuguza bali ya KUPIGA kambi popote.

Hoja yako ya kuuguza leo, huoni kuwa ni mpya haina tofauti na ile ya msikitini kuwa mheshimiwa alikuwa akipiga kazi kumbe mahututi kitandani?

Wewe huoni hivyo?
 
Binafasi nilikuwa napinga sana hili la tunataka "dikteta mzuri", wenyewe wanaita "benevolent dictator". Hakuna kitu kama hicho, dikteta ni dikteta tu. Kama una jambo zuri la kuwafanyia Watanzania, ongea nao washawishi watakupa ridhaa..... lakini ya kujifanyia jambo lolote unalotaka eti umesakrifaisi maisha yako kwa ajiri yetu sio sawa.
 
Kwani lockdown ya kule chato ilikuwa inachukua muda gani? na hapa dalisalama huwa tunakaa siku ngapi kabla ya kurudi idodomya....
 
meko alikuwa anakaa chatu miezi mingapi
 
Mbona mwendazake alihamisha kabisa hata ofisi ikawa Chato?
 


ITV wanajaribu kusafisha kauli ya Rais ili ilete maana.

Rais akiwa Mwanza ametamka anamshukuru Hayati Magufuli. Wote tumemsikia.

ITV wameona that is ridiculous, huwezi kumshukuru mtu kafa.

Kwa hiyo wamebadiliaha wamesema Rais kasema anaishukuru awamu ya tano.

Wanatufanya wajinga hatuku note alichosema Rais.

Rais na waandishi wake wa speech wamechemka. Ambacho ni kwenye kila speech ya Samia.
 

Si uanzishe uzi badala ya kudandia treni kwa mbele?

Hiiiiii bagosha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…