Rais Samia, Rais wa matajiri(?)

Hakuna cha kutengeneza Matajiri.Mimi Mzee wangu alikuwa tajiri sana lakini nikupe siri hawa Matajiri huwa wanakuwa Ma-genius fulani wenye uwezo wa kusoma Mazingira,pia ni wavumilivu,majasiri na Wana uwezo mkubwa sana wa kutunza pesa.
Wachunguze sana,hamna tajiri falafala.Lakini siri nyingine nakupa,huwa kwenye ukoo wao Kuna Historia ya kufanya Biashara kiroho.
Ata kwa viongozi ni hivyohivyo;mfano Mzee Kikwete,Babu yake alikuwa Chief,then Baba yake alikuwa DC wa kwanza Wilaya ya Pangani.Sasa Connect dots JK tangu akiwa Mwanafunzi UDSM alikuwa Kiongozi,akaja Chama baadaye serikali na akawa Rais.
Sasa fuatilia na mataifa mengine kama Israel,Kuna Koo ambazo zinatoa leaders for many years mpaka sasa.
 
Naona huelewi kuwa BBT ya mama Samia inampatia kila kijana anaepitia mafunzo ya miezi minne eka 10 za ardhi? na ruzuku za kujianzishia kilimo. Siyo umilionea huo kwa Tanzania?
 
In short, kwenye awamu yake sisi maskini ni imekula kwetu.
 
Naona huelewi kuwa BBT ya mama Samia inampatia kila kijana anaepitia mafunzo ya miezi minne eka 10 za ardhi? na ruzuku za kujianzishia kilimo. Siyo umilionea huo kwa Tanzania?
Idadi ya hao vijana ni wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…