Rais Samia, Ruhusu na saruji kutoka Kenya

Rais Samia, Ruhusu na saruji kutoka Kenya

Hicho ni kisingizio mkuu. Nimekupa mfano hapo juu. Ulizia Ulizia bei ya Tembo cement yoyote mjini Mbeya inapotengenezwa, halafu ulizia bei ya sementi hiyo hiyo Makambako na Dar. Utaona hiyo kitu hai apply. Ingawa ni sahihi tungetegemea bei iwe kubwa mbali, ila hawa jamaa wanachezea soko. Off course tuliopo maeneo ya Iringa tunanufaika na hili, ila kwa maumivu ya wale watu wanaoishi jirani na kiwanda.
Kuna wakati Cement kutoka kiwanda cha hawa Tembo Cement kilichoko Mombasa kwa jina hilo hilo la Tembo Cement ilikuwa ikiingizwa hapa Tanzania kwa bei ya Chini kabisa. Kuna tatizo kubwa kwenye suala hili la Cement .
 
Umenikumbusha cement ya lucky, bei nafuu ni 42.5%×, waruhusu vitu vyote viingie, wadhibiti ubora na kutoza kodi tu. Hapa hata viwanda vya ndani vikifa tusijali, na tutangaze kujitoa Sera ua viwanda!
 
Leo Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa tamko la kuruhusu Uagizaji wa Sukari kutoka Uganda, nampa pongezi sana.

Mheshimiwa Rais ujue pia Cement huku kanda ya ziwa imefika bei ya shilingi 24,000 kwa mfuko mmoja wakati jirani zetu Kenya wanauza 12,000 kwa mfuko mmoja. Tungependa kuona Serikali ikitupia jicho eneo hili ili watanzania wapate Cement kwa bei nafuu huku kanda ya ziwa.

Si vizuri kuamua kuwalinda wenye viwanda vya Cement kwa gharama ya watanzania maskini.

Serikali iruhusu Cement kutoka Kenya na iondoe masharti magumu ya uagizaji wa Cement

Naunga Mkono hoja Rais Mama Samia Ruhusu Pia Cement toka Kenya Au Uganda Ili Bei ishuke Watanzania waweze Kujenga Jamani[emoji3516][emoji30][emoji1666]
 
Mkuu sasa hivi elewa Demand ya Cement nchini ni kubwa kuliko supply ukichukulia miradi hii mikubwa ya Standard Gauge na Mwalimu Nyerere Hydropower ambapo matumizi ya Cement kwenye miradi hii ni mkubwa sana. Tumeona viongozi waliopewa fedha za kujenga mashule wakilalamika kupanda kwa bei ya Cement sasa kuna ubaya gani kwa serikali kuruhusu Cement kutoka nchi za jirani ambazo wanacement za ziada kutu supply kwa kulipa kodi wakati wa uagizaji. Cement ni sh 12000 tsh pamoja na kodi ikiwepo ikiuzwa Kenya. Inamaana kwa Cement ya export kutoka kiwandani itakuwa chini ya hapo pamoja na kulipa kodi bado Cement itakuwa nafuu. Kwanini watanzania tuumie kwa bei ya Cement. Weka pembeni kauli yako potofu ya Ulanguzi hii ndio ilipelekea miaka ya 70s na 80s migao ya Cement & Sukari nk

Waruhusu Cement Iagizwe tuu Nje Uganda au Kenya
 
Hata aliyekufundisha silabi A, leo unamwita "mbweha" kweeli!!! Utakuwa miongoni mwa wale mashaidi wa kesi ya ugaid
 
Sidhani kama Tanzania tunatoa hata bolt ya kutumika kwenye hili miradi yote ya kimkakati, everything is imported. Sisi tuna suppy labour force na consumables only!. Hivyo uhaba wa cement ni issue nyingine.

Ila Mkuu Bowie, una hoja ya msingi sana, kama cheap imported sugar ilizuiliwa for protecting viwanda vya ndani sukari isiwadodee viwandani, lakini kutokana na uhaba wa sukari, Mama amefungulia sukari ya Uganda, hivyo you are absolutely right, kufuatia uhaba wa cement, kama mfuko wa cement ya Tanzania unafika TZS 24,000 wakati cement ya Kenya ni just TZS 12,000, then why not?.

Tuko kwenye soko la pamoja la EA Common Market na tuna EA Custom Union, kuna free movement of goods and services to all member states, kwanini cement ya Kenya uzuiliwe kuingia Tanzania?. Nakumbuka miaka ya nyuma kwenye ile vita ya bia, "the beer war", bia ya Tanzania ilikuwa na kodi kubwa, Kenya wakaondoa kodi yote kwenye export ya bia, hivyo mikoa ya Kaskazini, Moshi na Arusha, bia ya Tusker was cheap kuliko Ndovu, hivyo bia zetu zikatudodea, hivyo wasije ruhusu kiholela hiyo cheap cement ya Kenya ikaja kutudodeshea cement yetu!. Serikali yetu iangalie kwanini cement ya Kenya ni cheap, ichukue hatua za kupunguza kodi cement yetu pia ishuke bei wa Tanzania tufaidike na unafuu wa bei.

P

Naunga Mkono hoja!
Ila Ili Serikali ya Raisi Wetu Mpendwa Mama Samia isikose Mapato,
Napendekeza Tuagize toka Nje Uganda au Kenya!Automatic ya hapa bei Itashuka tuu
 
Then this is a justification ya the scarcity due to supply and demand, in such a situation, serikali yetu inatakiwa ku control the price elasticity of demand ikiwemo kuruhusu cement kutoka nje to supplement the gap.
p

Naunga Mkono hoja
 
Leo Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa tamko la kuruhusu Uagizaji wa Sukari kutoka Uganda, nampa pongezi sana.

Mheshimiwa Rais ujue pia Cement huku kanda ya ziwa imefika bei ya shilingi 24,000 kwa mfuko mmoja wakati jirani zetu Kenya wanauza 12,000 kwa mfuko mmoja. Tungependa kuona Serikali ikitupia jicho eneo hili ili watanzania wapate Cement kwa bei nafuu huku kanda ya ziwa.

Si vizuri kuamua kuwalinda wenye viwanda vya Cement kwa gharama ya watanzania maskini.

Serikali iruhusu Cement kutoka Kenya na iondoe masharti magumu ya uagizaji wa Cement
Hii ya cement naunga mkono kwa 100%. Lakini sasa hatathubutuuuuu! Na hii ni kwa sababu Dangote ni swahiba wa Godfather na Said Salim B. ana hisa za kutosha Twiga Cement.
 
Hii ya cement naunga mkono kwa 100%. Lakini sasa hatathubutuuuuu! Na hii ni kwa sababu Dangote ni swahiba wa Godfather na Said Salim B. ana hisa za kutosha Twiga Cement.

Hapana kabisa 100%
Dangote anaweza kuwa sio sababu kabisa!
Labda Ungeniambia. Iwanga Hivi vya Hapa Dar!
Ambavyo ni vya Zamani vina wakuu ndani ya Bodi zao!
Lakini Dangote Sidhani!
Anyway cha Msingi Iagizwe tuu[emoji3516][emoji1666]
 
Kasi ya ujenzi kwa sasa iko juu nchi nzima ,mafundi ujenzi na wakandarasi ni mashahidi kwa hiyo uhitaji ni mkubwa kuliko uzalishaji.

Kwa muktadha huo no busara serikali kuruhusu saruji kutoka nchi za jirani.

Kabisa waruhusu hadi itapofikia hatua tujitosheleze ili wananchi wasiumie maana vifaa vya ujenzi viko juu sana hadi inatia hasira
 
Naunga Mkono hoja!
Ila Ili Serikali ya Raisi Wetu Mpendwa Mama Samia isikose Mapato,
Napendekeza Tuagize toka Nje Uganda au Kenya!Automatic ya hapa bei Itashuka tuu
Na maadalali wataanza kulia lia tena kuwa mama anaua viwwnda vya ndani
 
Leo Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa tamko la kuruhusu Uagizaji wa Sukari kutoka Uganda, nampa pongezi sana.

Mheshimiwa Rais ujue pia Cement huku kanda ya ziwa imefika bei ya shilingi 24,000 kwa mfuko mmoja wakati jirani zetu Kenya wanauza 12,000 kwa mfuko mmoja. Tungependa kuona Serikali ikitupia jicho eneo hili ili watanzania wapate Cement kwa bei nafuu huku kanda ya ziwa.

Si vizuri kuamua kuwalinda wenye viwanda vya Cement kwa gharama ya watanzania maskini.

Serikali iruhusu Cement kutoka Kenya na iondoe masharti magumu ya uagizaji wa Cement
Hapo ndio tutaona kama kuna NON-SENSE ama vipi kuzuia au kuruhusu bidhaa za nje kuingia nchini.
 
Nchi imemshinda mama wa kambo, ni full kudemka huku yatima full kulialia.
 
Siwezi kubishana tena na Kibarua asiyejua maana ya Demand and Supply. Never argue with a ...
Acha kazi hiyo ya ulanguzi;/udalali, njoo nikupe kazi kwani naona umehangaika mno toka huko awamu ya tatu na bado hujafika popote.
 
Acha kazi hiyo ya ulanguzi;/udalali, njoo nikupe kazi kwani naona umehangaika mno toka huko awamu ya tatu na bado hujafika popote.
Never never argue with a fool
 
Back
Top Bottom