Rais Samia, Ruhusu na saruji kutoka Kenya

Kuna wakati Cement kutoka kiwanda cha hawa Tembo Cement kilichoko Mombasa kwa jina hilo hilo la Tembo Cement ilikuwa ikiingizwa hapa Tanzania kwa bei ya Chini kabisa. Kuna tatizo kubwa kwenye suala hili la Cement .
 
Umenikumbusha cement ya lucky, bei nafuu ni 42.5%×, waruhusu vitu vyote viingie, wadhibiti ubora na kutoza kodi tu. Hapa hata viwanda vya ndani vikifa tusijali, na tutangaze kujitoa Sera ua viwanda!
 

Naunga Mkono hoja Rais Mama Samia Ruhusu Pia Cement toka Kenya Au Uganda Ili Bei ishuke Watanzania waweze Kujenga Jamani[emoji3516][emoji30][emoji1666]
 

Waruhusu Cement Iagizwe tuu Nje Uganda au Kenya
 
Hata aliyekufundisha silabi A, leo unamwita "mbweha" kweeli!!! Utakuwa miongoni mwa wale mashaidi wa kesi ya ugaid
 

Naunga Mkono hoja!
Ila Ili Serikali ya Raisi Wetu Mpendwa Mama Samia isikose Mapato,
Napendekeza Tuagize toka Nje Uganda au Kenya!Automatic ya hapa bei Itashuka tuu
 
Then this is a justification ya the scarcity due to supply and demand, in such a situation, serikali yetu inatakiwa ku control the price elasticity of demand ikiwemo kuruhusu cement kutoka nje to supplement the gap.
p

Naunga Mkono hoja
 
Hii ya cement naunga mkono kwa 100%. Lakini sasa hatathubutuuuuu! Na hii ni kwa sababu Dangote ni swahiba wa Godfather na Said Salim B. ana hisa za kutosha Twiga Cement.
 
Hii ya cement naunga mkono kwa 100%. Lakini sasa hatathubutuuuuu! Na hii ni kwa sababu Dangote ni swahiba wa Godfather na Said Salim B. ana hisa za kutosha Twiga Cement.

Hapana kabisa 100%
Dangote anaweza kuwa sio sababu kabisa!
Labda Ungeniambia. Iwanga Hivi vya Hapa Dar!
Ambavyo ni vya Zamani vina wakuu ndani ya Bodi zao!
Lakini Dangote Sidhani!
Anyway cha Msingi Iagizwe tuu[emoji3516][emoji1666]
 
Kasi ya ujenzi kwa sasa iko juu nchi nzima ,mafundi ujenzi na wakandarasi ni mashahidi kwa hiyo uhitaji ni mkubwa kuliko uzalishaji.

Kwa muktadha huo no busara serikali kuruhusu saruji kutoka nchi za jirani.

Kabisa waruhusu hadi itapofikia hatua tujitosheleze ili wananchi wasiumie maana vifaa vya ujenzi viko juu sana hadi inatia hasira
 
Naunga Mkono hoja!
Ila Ili Serikali ya Raisi Wetu Mpendwa Mama Samia isikose Mapato,
Napendekeza Tuagize toka Nje Uganda au Kenya!Automatic ya hapa bei Itashuka tuu
Na maadalali wataanza kulia lia tena kuwa mama anaua viwwnda vya ndani
 
Hapo ndio tutaona kama kuna NON-SENSE ama vipi kuzuia au kuruhusu bidhaa za nje kuingia nchini.
 
Nchi imemshinda mama wa kambo, ni full kudemka huku yatima full kulialia.
 
Siwezi kubishana tena na Kibarua asiyejua maana ya Demand and Supply. Never argue with a ...
Acha kazi hiyo ya ulanguzi;/udalali, njoo nikupe kazi kwani naona umehangaika mno toka huko awamu ya tatu na bado hujafika popote.
 
Acha kazi hiyo ya ulanguzi;/udalali, njoo nikupe kazi kwani naona umehangaika mno toka huko awamu ya tatu na bado hujafika popote.
Never never argue with a fool
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…