Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Rais Samia akipokea ripoti ya kikosi kazi ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi amesema rushwa katika vyama vya siasa ni tabia.
Ametolea mfano baadhi ya vyama kuwalaza watu kwenye maeneo mazuri ili kupata kura za wajumbe.
Amesema kazi ya kupambana na rushwa ni ya kila mmoja na rushwa ipo kotekote sio suala la serikali tu.
Zipo rushwa ndogo ndogo maeneo mengi ambapo inapaswa kupiganwa